Kenya 2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

Kenya 2022 General Election
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Demu anasura ngumu huyo khaaa
 
Hapana mpango wa Uhuru hata kama ni wa nia njema ila lipo jambo la ziada Mungu atupe uzima, if Martha succeeds to be a DP of Kenya its dangerous. How? She is inherent with Kikuyuism and the Kikuyu hegemonic syndrome. Wait to see how Raila has/shall be trapped
Okay, naona umeanza kuingiza hoja za kibaguzi. Ikifikia hapo mimi sipo.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
pole sana mkuu iyo haitotokea katiba ya kenya sio kama ya tz uchaguzi itafanya ndani siku 60 kwa niaba ya katiba ya kenya.
 
Kenyatta for life...
Ila kenyata ni bonge la presidaa sana,na mchezo aliocheza ili aishi kwa amani bila kufatwafatwa na wapinzani usiku na mchana ,aka aply ile fomula ya if you can't beat them join them,akafanya hand shake,anamaliza kipindi chake akiwa na kakitambi.

Jamaa yetu magu ye alienda kinyume aka aply ile fomula ya if u can't beat them shoot them,ona sasa amekufa na akiwa na kesi ya kujibu.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.

View attachment 2194622

Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior

Mi nishawashow wa Kei wasiskize Baba kumgei Karua u runng mate coz itahappen ya Malawi na Tz am telln you. I have warned them na kesho RAO ampatie tu Kalo
 
Mama iron lady kweli, alisimama kidete ,kuhakikisha Kibaki anachukua madaraka baada uchaguzi uliopelekea machafuko na watu kupoteza maisha Kenya. Hapa team 'tanga tanga' wajipange kweli.
 
Back
Top Bottom