Recent content by Hurayra

  1. H

    JamiiForums Tanzania N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Uislaam unatutaka kushirikiana na wasio Muslims katika mambo mengi kama biashara, Uchumi, shughuli za kijamii ,kuwatembelea, wagonjwa na kuwasaidia lakin ukaweka Mipaka kuwa tushirikiane katika yote isipokuwa Mambo ya Kiibada. Sasa ktk ibada za Kikristo mostly ktk dini yetu ni ibada za Kufru...
  2. H

    JamiiForums Tanzania N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Nadhani ni Mtu kuamua kuamini au kuelewa kama ulivyoelewa hapo, Kosa Moja halihalalishi jingine. Haraam ni haraam tu regardless itafanywa na wengi kiasi gani. NA Halal itabakia hivyo regardless itafanywa na wachache kiasi gani. Kwakuwa baadhi ya Muslims wanakula Nguruze, au ni wazinifu wa wazi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

    Waambieni hii dunia ina mwenyewe, hakuwa hata wa kuweza kuangamiza japo kundi la sisimizi, au kulipa manufaa kundi hilo hilo lisipate madhara. Waache kujipa umuhimu, Muumbaji wa hata yote tuyaonayo ndio huyo huyo atayeweza kuiharibu. OVA
  4. H

    JamiiForums Tanzania Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?

    Kwani Jude ameanza leo?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Umeshiba zako soya unabwabwaja tu
  6. H

    JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Huyo mtu mmoja mmoja na Mi nimo?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam siyo Pwani? Nini maana ya Pwani?

    Yaani Morogoro ni Pwani ila Dar sio Pwani? Unajua maana Pwani
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Moja ya watu wenye ufahamu mdogo mno wa dini yake ni Sule. Nadhan angebakia kwenye kumuelezea nyuki na Miti shamba Uislam halielezwi jambo lolote kwa maoni ya Mtu aonavyo bali tunachukua kilichoelezwa kutoka katika QUR'AN & HADEETH na pia KUTOKA KWA WANA WA CHUONI WA UMMA HUU. Sule anatakiwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Fanya sana Ibada, kufa kupo na maisha ya hakika yapo Aakhera. Huko hakuna ujanja ujanja, vile ulivyoishi hapa ndivyo utakavyoishi huko. Wajanja ,werevu, wababe sana, wasafi sana ,wachafu mno , wasafi, Waumini hawa wote waliishi na tayar wamerejea kwa mola wao Wakiingoja siku ngumu zaidi katika...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Ikiwa atakufa katika hali hiyo ( yaani akafa hajatubia) atadumu motoni na hakika hayo ni mafikio mabaya kabisa. Tusighuriwe na anasa na udanganyifu wa dunia Moto upo na hakika Jahannam inangojea
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Perception tu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane Quran

    Tulia ,inaowahusu wameshaelewa swali, ama hakuna asiye wa Qur'an ataweza kujibu swali hili. Tulia ustafidi
  13. H

    JamiiForums Tanzania Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    30 ina shaka gani? Kwa kuna mwezi wenye 31 katika Uislam? Shaka ipo 29
  14. H

    JamiiForums Tanzania Bombardier yaranda randa anga ya Dar es Salaam

    Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali
Back
Top Bottom