Recent content by Hunter621

  1. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimefurahi sana kuona huu uzi bado unaendelea toka 2023 hadi 2025 bado watu wanaendelea kupata madini hapa
  2. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

    Kiukweli hili ni changamoto kubwa sana mimi ni mwezi sasa inasema details not found ukiwapigia wanasema changamoto ipo loan board kwenye mfumo wao na loan board ukiwacheki wanasema rita ndio kuna changamoto kwenye mfumo naona kama mifumo haisomani vizuri na bodi ya mikopo
  3. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Mbona sasa wamejitahid ni mwaka mzima
  4. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Usitegemee sana kuhusu app huu mjadala ni mrefu hadi leo umekosa majibu kamili kila mtu ana hyppthesis yake
  5. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Unafikiri hyo kazi yanahitajika mabavu zaidi kuliko akili!
  6. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    cheers 🥂🥂 kwa walio bahatika kwenye mkeka wa hivi leo,,,,wengine tuendelee na maombi na kuto kukata tamaa🙏
  7. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yeah kitambo sana since last year uzi huu bado wa moto leo nikasema nichungulie kdgo niwasalimu wadau
  8. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

    Ni mkaguzi pia kama wakaguzi wengine huyu anahusika zaidi kwenye ukaguzi hasa zaidi kwenye sector ya elimu mitaala nk ili kuweza kuishaur serikali kwenye angle hyo!
  9. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huu uzi naona bdo una exist, kila la kheri champions✌️
  10. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Pole sana uelewa wako mdogo sana au unacikiri nini kufanyike ili sasa wananchi wapaye chomvo kinacho jiyegemea amabcho kinaweza kuwapa taarifa za mapato na matumizi ya nchi yao, mana unataka ifutwe tu
  11. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu bado upo active kwenye huu uzi big up sana kwako
  12. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huu uzi since last year its good kuona bado upo Active
  13. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bye bye database ya LGA
  14. Hunter621

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huu mtanange hautopatikan nan mbabe kama Russia na Ukraine tuu😁
Back
Top Bottom