Recent content by hunchback

  1. hunchback

    PreGE2025 Kuelekea maandamano X (Twitter) iko chini asubuhi hii

    Ni udikteta au kutokujiamini!?, mtandao wa X asubuhi hii upo chini! Vipi wewe, kwako X inafunguka?
  2. hunchback

    DSTV Tanzania Wanisababishia Uharibifu Nyumbani

    Kwani ndugu ofisi ni lazima uende kimwili, kama napiga simu naongea na wahusika na wananihakikishia tatizo limepokelewa na linafanyiwa kazi (na ushahidi ninao) uzembe uko wapi?
  3. hunchback

    DSTV Tanzania Wanisababishia Uharibifu Nyumbani

    Wanajukwaa wote nakuja kwenu kwa ushauri nichukue hatua gani. Niliomba fundi kufanya decoder installation mwezi wa tano kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Nikaletewa fundi, wakaja wawili bwana. Wakafunga decoder, wakati wa kufunga miguu ya tv, tv ikavunjika. Wakiwa pale mafundi wakaniambia...
  4. hunchback

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Cashout inakupa nafasi ya kutoa kiasi fulani kabla mechi ulizobashiri kwenye mkeka hazijaisha. Mfano umeweka mkeka wa mechi sita, labda nne zimetiki zinabaki mbili zinazochezwa au zitchezwa baadaye, ukiona muelekeo wa zilizobaki unakutia wasiwasi basi una cashout kilichopo kwa muda huo na mkeka...
  5. hunchback

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sikuielewa aisee, hongera
  6. hunchback

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi za Uefa na Europa epuka sana kumpa aliyeshinda mechi ya kwanza halafu mechi inayofuata anacheza na timu hiyo hiyo baada ya wiki. Ni mara chache sana timu iliyofungwa kukubali kichapo mfululizo atafurukuta apate hata draw labda timu iwe kibonde kwelikweli au mazingira kama majeruhi, kadi...
  7. hunchback

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We jamaa pole aisee, hapa tonge lipo mdomoni limekwapuliwa!
  8. hunchback

    Waziri Nchemba: Hata mimi ni binadamu tu, ninakosea

    Mara ya kwanza aliposema wasiotaka kulipa kodi wahamie Burundi nikajua labda amepitiwa, aliporudia tena nikasema huyu nu mjeuri!
  9. hunchback

    Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

    Mengine yalifanyika akayazuia bila kutunga sheria na sasa yamerudi, mfano TRA wameanza tena kuzuia akaunti za wateja ili wapate kodi!
  10. hunchback

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Matreni msipoacha kuyapanda yatawafelisha sana Ni ngumu sana kupatia mechi zaidi ya kumi, ni ngumu zaidi kushinda milioni mbili kwa shilingi mia
  11. hunchback

Back
Top Bottom