Recent content by Humud H

  1. H

    Wazoefu wa biashara ya boda boda na bajaji, njoo mtujuze changamoto mnazokumbana nazo

    Kila biashara ina changamoto zake lkn kabla fanya Research hasara haikosekani na faida haikosekani muhimu upate madereva wazuri na ukiweza usitoe mkataba ukitoa mkataba kila kitu juu yake haitengenezi anaua injini mwisho wa siku anaua chombo na mkatab hamalizi mm nakwambia ivo nilipita apa apa...
  2. H

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Mm nipo Temeke Dsm lkn pikipiki zangu zimechawanyika mbande Goms Tandika mbagala nk
  3. H

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Wick nashkuru sana nilipita hapa nimeweka hela kidogo kwenye bii biashara nashkuru kwa msaada wako,kuna siku ulisema kuna kampuni inakusimamia chombo chako kama ukishindwa unaweza kunipa maelekezo mazuri zaidi
  4. H

    Biashara ya boda boda

    Unazo ngapi sasa ivi bosi
  5. H

    Biashara ya boda boda

    Kila biashara ina changamoto mbona kuna watu wanafanikiwa kwenye bodaboda wanamiliku mpaka 20,mm ni mmiliki nnazo kadhaa mbona changamoto za kawaida tu.
  6. H

    Biashara ya boda boda

    Hawa wanasheria wanapatikana wapi
  7. H

    Biashara ya boda boda

    Vizuri sana na vilevile dereva usimbane saana sasa mwanasheria utampata vipi wanasheria si wanalipwa hela nyingi sio wengine hatuna uwelewa huo
  8. H

    Biashara ya boda boda

    Vizuri sana mbona nimeskia bodaboda hawakati bima kubwa mm nimenunua zangu nimeulizia nimeambiwa hawakati bima kubwa,bodaboda kweli ukipata dereva asiejua maisha utalia tatizo letu wengi wetu tukiona vijana wamekaa maskani tunawapa bodaboda wengine hawawezi kazi bora utafute mtu aliesota na...
  9. H

    Biashara ya boda boda

    Biashara zote pasua kichwa hakuna biashara rahisi bodaboda mbona wengine wanafanikiwa na magari hivohivo na maduka hivohivo hakuna biashara rahisi muhimu ni kujipanga tu na kukubali changamoto,mfano bodaboda mpaka inakamilika mpya ni kama 2500000,dereva kila wiki hssabu 50000 service inategemea...
  10. H

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Huo ni mtazamo tu kila biashara ina changamoto Nissan civilian mil40 hesabu kwa siku laki 1 baada ya mwaka mil 36 bado service bado kupigwa bao wastan kwa mwaka unapata 25 mil kila biashara ina changamoto zake dogo au unaijua kuna biashara haina changamoto ni faida tu tuambie na ss.
  11. H

    Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    We jamaaa bado upo mm ndugu yako apa njoo unipe njia
  12. H

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Hapana hivi sasa ndio nipo katika reserch nataka nianze karibuni
  13. H

    Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

    Nataka Nataka kwa bodaboda lkn watu wengi wanasifia tvs
Back
Top Bottom