Pole sana lakini hakuna watu wanapiga umbea na kusengenya watu kama mtu na mkewe hata umbea wa ma best friend unapigwa hapo...kama kuna mengine ulikua unamwambia hujayasikia ni vile hayakukufikia tu. Wanaume mjue tu wake wa rafiki zenu wanawachekea lakini wanawachora mno kwa mengi [emoji28]
1. I survived a very toxic marriage and One thing u won’t ever believe is that I still love that man it’s just that I can’t go back and stay with him anymore but he was the only guy I ever loved in my entire life
Ukiona unadharauliwa jiangalie wewe kwanza mara mbili mbili, halafu usijibiwe wewe ni nani kwani..hayo maisha yaliishia mwaka 90. Ss hvi maisha ni magumu bado upate na mwanaume anajiongelesha eti anakunyoosha kwa kipigo[emoji23][emoji23] tutanyooshana very well
Sent from my iPhone using...
Sawa Asante sana [emoji1317] lakini sikuwa na presha wala sukari probably ni hiyo cervical incompetence (god forbid) au hizo 50% ambazo hatujui nashkuru sana kwa ushauri.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hospitali hawakuweza kunipa jibu la moja kwa moja walikua wanafanya tu assumptions wakisema ni cervical incompetence lakini bado sio kwa uhakika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote [emoji1317]...
Ndoa zina maumivu sana hamna mtu anaweza kukuelewa unajiskiaje unless na yeye awe amewahi kuumizwa na ndoa, pole sana lakini I believe mnaweza kugawana mali kama una risiti za ununuzi wa vifaa zenye jina lako au ushahidi wwte wakati mnajenga labda zinaweza kukusaidia kiasi fulani [emoji1317]...
Wewe ulioa wapi na ulitoa bilioni ngapi mahari? Unaleta dharau wakati mwenyewe unapeleka kushona mikojo yako iliochanika kwa fundi ungekua mtu sana tungekusikia kwenye malls unanunua nguo.. wanapenda ngono kumbe watu wanaoana wakafanyaje kama sio hiyo ngono
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa wewe unaomba ushauri unaambiwa umemkosea mkeo rudi nyumbani mkayajenge unatoa excuses mara upewe ujanja wa kurudi mara na huyo mchepuko ni familia pia.. unaomba ushauri na ubishi na ujuaji mwingi ndo mana ukaondoka kwako kwa lazima sasa uambiwe nini tena bro? 🤷🏼♀️
Sent from my iPhone...
Guys haya mambo yanatokea hata mkikutana kanisani... issue sio online kikubwa ni kuomba usikutane na mtu ana tabia chafu tu basi japo kuna kauzembe nilifanya kweli lakini kila kitu ilibidi kiwe kwa sababu ambazo mm mpk saivi sijazijua kwakweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.