Recent content by Humanity comes first

  1. H

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana

    Unaweza kukuta hela za masharti hizo unamlaumu bure bro. We achana naye kama zipo mishe usione noma.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Aliyepo Toangoma tushirikiane biashara

    Habari ndugu zanguni. Nina mtaji wa laki 2 Kama kuna mtu anaishi Toangoma tushirikiane, mimi makazi yangu ni Toangoma tufanye biashara ambayo anadhani tunaweza kuifanya vema kwa mtaji huo. Mimi si mwenyeji hivyo kwa mwenyeji itakua vema zaidi sababu anayajua mazingira yake vema.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Uzuri ni lizuri kwel na ana big tako miguu minene na sura nzuri sio kama wazungu wengine wabovu. Maana hata binti zake wazuri kwelikweli kama mama yao. Ni mtu mzima miaka 69 ila yupo kama ana miaka 40.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Kabisa nami sina noma kama zipo mbona nazitoa tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Kabisa mkubwa nimekuelewa sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Anataka nifanye kazi na nisome zaidi. Sio kwamba nikae kizembe. Na hili hata huku alinifadhili kusoma professional short courses 2 tofauti.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Nimeanza wasiliana ndio toka na miaka 18. Yeye ndio alianzisha mawasiliano nami. Nimemjua kupitia jamaa yangu msomali mtanzania anayeishi huko Mimi ni msomali kwa baba na mama mtanzania.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Ah sikua hata na mawazo ya kwenda ughaibuni. Zaidi naye hakuwahi nitamkia maneno ya kwenda huko wala mapenzi ila alikua akinisifia mnoo..nami nilichukulia tu amependa kunisaidia. Alikua akinisapoti tu kimaisha. Niliamini kutoboa hapahapa nyumbani lakini naona siku zinaenda tu mradi zinaenda...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Hapana ni kweli. Sijaja kufurahisha genge.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Nilijuana naye kupitia rafiki yangu msomali mtanzania alikua akiishi jirani na hiyo familia. Bibi alipenda picha zangu akaomba urafiki nami.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Busara kidogo inahitajika katika hili

    I heart your contribution Bila shaka hicho kichwa chako ni madini.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Habari wakuu. Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa. Amekua akinisaidia hapa na pale. Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki. Pia anataka...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hodi wakuu heshima yenu

    Habarini! Ningeomba mnipokee jamvini. Ni mwanaume. Naishi Dar kijana wa miaka 28. Nawasilisha.
Back
Top Bottom