Hivi ni vichekesho
Mkuu,Mama yako asingekuwa kibaka na mropokaji basi Mzee wako asingeweza kumtoa bi.....ra na wewe ukazaliwa
Mama yako angekuwa kimya bila kujibu lolote(kutoropoka) mpaka leo angekuwa na bi....ra yake
Sasa wewe unatofauti gani na Mama yako?wewe ni bingwa na lazima utakuwa...
Kuna kigezo cha Sample space mkuu?
Large enough sample space inaanza na namba ngapi na kuishia namba ngapi?
Small enough sample space inaanza na namba ngapi na inaishia namba ngapi?
Usipende kufanya vitu rahisi complicated kwenye jamii
Penda kuishi na kuchukulia mambo kama jamii husika...
Watu wengi wamehoji uhusiano wa Msechu na muitikio wake wa haraka kuimba nyimbo kwenye misiba ya ghafla
Je ? Anaombwa kutunga mapema au mwenzetu ana jicho la tatu la utambuzi wa mambo yajayo yasionekana
Nyimbo zake huwa ni ndefu na sio rahisi kuzikariri kwa siku moja au mbili
Je hizi nyimbo...
Nikimwangalia jamaa ni kama mgonjwa,Au ule mwili ni wa kawaida
Watu wamshauri kiafya hayuko sawa huyo katibu
Ziara anazofanya zaweza mletea tatozo la presha ,Ule mwili sijui kama yupo sawa jamaa
Anajitoa ufahamu kwa ule mwili wake ilibidi awekeze kwenye afya yake sana sio mambo ya uchaguzii...
Mwanasheria wa Tundu lissu ndugu Peter kibatala amesisitiza siku ya kukamatwa kwa Tundu lissu na yeye alikuwa Songea.
Aidha kibatala anasema ukamatwaji wa Tundu lissu ni wa kihuni na ni utekaji kisheria,Zile video zipo na zinaonyesha polisi walichofanya lakini siku zikiletwa mahakamani...
Mkuu fanya kazi,,JF hakuna malipo hapa,Umri wako unakimbia
Utaanzisha mada usiku na mchana,kumbuka umri unakimbia ,Utajenga familia yako lini?
Usipoteze muda sana hapa JF wengi wanajuta
Usikufuru hujui ya kesho unaweza ukapata ajali mbaya na hiyo mikono yako ikashindwa kuandika daima na ukashuhudia mabadiliko kabla ya 2050 ukiwa kwenye wheel chair daima
Be careful mkuu,Usijitoe sana ufahamu kisa siasa,Wewe ni binadamu tu ,Hujui hata nusu saa mbele nini kitakukuta
Dkt slaa amesisitiza maadili sio maneno wala maandishi,Maadili ni matendo
Aidha Dkt Slaa amesisitiza misimamo ya wananchi juu ya mabadiliko ipo mioyoni mwao huwezi kuiondoa maono ya mioyo ya watu kwa vitisho
Kwa matendo ya hovyo ya Tume ya uchaguzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.