Recent content by Hudumapoa.blogspot

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kuweka tangazo JamiiForums ni Tshs ngapi kwa mwezi?

    Nahitaji kujua garama ya kutangaza jf kwa mwezi. Pia jinsi ya kubadili username naomba kuwasilisha
  2. H

    JamiiForums Tanzania Online job

    Hao jamaa mimi sijui ila kuna hawa jamaa wa kitanzania wanalipa vizuri ukicheza games na kushinda na uki referrer friends na kuandika makala nzuri yenye manufaa kwa jamii.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa blog ni biashara? Jifunze sasa

    edited
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania makala hii nimeipenda jaribu kuisoma kisha toa wazo lako

    Katika pita pita yangu kwenye mitandao kujifunza kuhusiana na masuala ya mapenzi nikakuta makala moja inafundisha namna ya kutongoza binti mrembo na kumpata bila shinda chukua time isome halafu utoe neno hapa JF Isome hapa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzuia watu wasikopi content za blog yako

    Una uhakika wa kiteknolojia na unachokisema
  6. H

    JamiiForums Tanzania Njia mojawapo ya kuondoa stress ni kucheza games

    Kama umeweza kuandika hapa jf basi utakuwa na simu yenye uwezo wa kucheza games online. Pia simu nyingi zina games. ha ha ha ha
  7. H

    JamiiForums Tanzania Njia mojawapo ya kuondoa stress ni kucheza games

    Kuna wakati unakuwa una mawazo mengi hata wengine wanadhani kuondoa mawazo hayo ni kutumia pombe au mawada ya kulevya kama bangi, Hiyo sio njia sahihi kwani utaongeza mawazo zaidi baada ya kufanya maovu/uhalifu kutokana na ulevi. Jaribu kutumia njia hii ya kucheza games itakusaidia. Unaweza...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    wizi mtupu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je una blog ina watembeleaji angalau mia moja kwa siku? Unataka kupata pesa kupitia blog yako?

    Kwa wote wenye mapenzi na blog yani wanao blog kama biashara. Weka matangazo yetu kwenye blog yako ulipwe wasiliana nasi hapa au PM
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la asali na nta

    sasa hata gharama za uzalishaji bado hujajua je uta bagaign vipi bei na mteja? mteja akikuambia umuuzie sh.4,000 kwa lita au kilo na umpelekee dar utakubali? Fanya utafiti kwanza ujue gharama zako hata kwa makadilio
  11. H

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

    Poleni kwani mna muda gani mtaani toka mhitimu mafunzo? naomba kujua kwa faida ya vizazi vijavyo.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ada ya kusomea diploma ya ualimu kwa mwaka

    laki nzima imeongezeka au ndo ya kufidia watakao someshwa bure
  13. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI! Course gani ya diploma naweza somea.

    What is Umaphology? inatolewa wapi course hiyo. Dogo asipende short cut nenda Advance upanue wigo zaidi. Wapo walio kwenda diploma ya civil engineering wakitokea direct kidato cha nne lakini baadae wakajikuta wamejipunguzia uwanja wa kucheza kwenye ajira.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Ukimuuliza mtanzania swali tegemea kuulizwa swali kabla hata hajakujibu swali ulilomuuliza
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ada ya kusomea diploma ya ualimu kwa mwaka

    Nawashukuruni kwa majibu.
Back
Top Bottom