Kuweka tangazo JamiiForums ni Tshs ngapi kwa mwezi?

Nahitaji kujua garama ya kutangaza jf kwa mwezi

Karibu mkuu,

Hebu ainisha, kuweka tangazo la aina gani? Kama una kitu unauza, ni ruhusa kuweka tangazo lako hapa kwenye Jukwaa hili la Matangazo Madogo Madogo BURE kabisa!

Ama kama unamaanisha matangazo makubwa kama yanayoonekana kwenye kurasa zetu (banners), basi wasiliana nasi kupitia sales@jamiiforums.com utapata maelezo zaidi juu ya viwango vya bei kwa aina ya tangazo.

Karibu sana.
 
Kuhusu kubadili username, tutumie ombi lako PM ukieleza unataka kubadili jina lisomekaje na sababu za kufanya hivyo.

Asante.
Ingependeza mgekuwa wazi ili wengine wajue itakuwa vema. Kuna mentality za watu wengine huwa wanahisi ni mabilion hawaoni hata haja kuuliza. Hapo mtaoongeza mapato
 
Back
Top Bottom