Recent content by HSIRAJI

  1. HSIRAJI

    Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Ukiona mkopo haulipiki usiende bank kuongea nao kwa mdomo andika barua ya kuomba kufanyia restructuring mkopo wako na wataptia mauzo yako,bank statement yako ikimaanisha mauzo au mzunguko wa biashara yako then watakupa kiwango cha marejesho mapya na hawawez kukataa kama mzunguko wa biashara...
  2. HSIRAJI

    Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    Upande mwingine papa anasema mdinyane miduku wanaume kwa wanaume na mnabarikiwa sasa si bora utulie huko uliko
  3. HSIRAJI

    Zijue sifa na gharama za kumiliki silaha Tanzania

    Huwez poteza hela yako sababu kama umenunua dukani Silaha yako unaweza rudisha recept na kutoa maelezo kama umekosa leseni kwahyo watakata 20% ya pesa ulionunulia na nyingne kurudishiwa
  4. HSIRAJI

    Ushauri kuhusiana na masuala ya mizimu!

    Kwann aongee na mzimu wa kizungu badala ya kuongea na mizimu ya asili yake?
  5. HSIRAJI

    Msaada: Nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha Container (empty) kutoka China mpaka Tanzania

    Tatzo kwenye shipping unalipa by CBM huo mzgo ni Bora utafute hapa hata la m4
  6. HSIRAJI

    KERO IGP tuondolee Askari wa Usalama Barabarani Tabata, wamekua kero na kusababisha Foleni kwa faida yao.

    Askari nchi nzima wanaenda barabarani wakiwa na malengo binafsi na Kuna commission wanapekeka mahali jion wakitoka barabarani ndo maana imekuwa kwao halali so kama nchi watolewe wote barabarani zifungwe camera Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  7. HSIRAJI

    Watu wanaoonyesha maburungutu ya hela mitandaoni bila kuonyesha chanzo wapigwe marufuku?

    Endelea kutoa macho hvo hvo kwenye Dp haya maisha hayana part 2 kwahyo ukipata Dili pita nalo hakuna pesa nyingi bila risk haijalishi ni nn unarisk so ukiona risk unaimudu pita nayo
  8. HSIRAJI

    Kwanini wahindi wengi posta na kariakoo hufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi saa nne na kufunga saa kumi na moja

    Sikia maisha ni ratba zako tu wahindi wengi wanachelewa kuamka na akiamka ibada na chai ndo aje kqzini, jion ni kuogopa hatar ya kuporwa NB: kulala sana haikufanyi kuwa masikini ikiwa aiathiri biashara yako
  9. HSIRAJI

    Kwenye hii dunia hakuna mtu aliyejiajiri, kila mmoja ameajiriwa

    KUJIAJIRI,,, be your own boss unapanga ratiba unaweza acha majukumu Kwa mtu bila maelezo yoyote KUAJIRIWA, pangiwa ratba hata mke wako akiumwa lazma boss ajue, ukianza kuharisha lazma utoe taarfa
  10. HSIRAJI

    Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

    Pole sana na kipindi kigumu unachoptia ongeza uvumilivu Kidogo Kwa Sasa nchi nzima mzunguko wa pesa umekuwa mgumu hasa kama mtu wa mishemishe( Dili) so ww ndo unajua vzuri Hali Yako angalia na kama unataka kwenda Kwa sangoma basi nakushauri usubr Kwa siku 90 Toka Sasa namaanisha kuanzia mwezi wa...
  11. HSIRAJI

    Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

    Ni kwel lakn ingekuwa mwanzo ukasema msukuma na ukawa unajua Cha kuzugia usumbufu unapungua lakn ukisema unatoka kigoma,ngara,kabanga,tunduma,sirari, aiseee utapgishwa route mpka utoe chochote all in all hii nchi jitahidi uwe na connection tu.
  12. HSIRAJI

    Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

    Hii nchi hi nakumbuka passport nilijaziwa hapo hapo uhamiaji HQ na date of issue ulikuwa ijumaa na sku hyo hyo jion akanitumia picture haijamalizwa printiwa jtatu asubuh nikapewa, Nb: officer mmoja alijichanganya kutaka kunizoea kunihoji Nika piga simu alitukanwa moja mpaka nikamuona hawez...
  13. HSIRAJI

    DOKEZO Gharama za kuegesha gari Hospitali ya Muhimbili ni kubwa na zinaumiza

    Ili kuepuka wanapark alafu wanaenda kwenye shughuli zao mjni ni wakati wa kutoka waombwe list za malipo ya huduma na iwe free Kwa atae kuwa ni mgonjwa ambae Hana list ndo alipie hyo gharama
  14. HSIRAJI

    Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Anaelipia Nan hzi bia? Au anaeombwa ombwa hela ni Nan?
Back
Top Bottom