Recent content by housekeeper

  1. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Husband is needed

    Tengaa sana, Mrangi wa itololo, but siishi dar Nipo mbeya kwenye utafutaji rizki. Elimu kidogo ipo (diploma) Age 33 Kipato cha kawaida. If you are interested for more particulars, warmly welcome.
  2. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Tatizo mimi ndio naliona, sijakuelewa unavyosema niache uzembe wa kufikiri na mtazamo nabadilishaje na bado mwili una shida?
  3. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Mchana majukumu mengi mkuu! Ndio nimepata mda wa kuperuzi wakati nacheki BBC hapa. By the way mimi ndio natakiwa niwe muoga maana naishi mwenyewe na nyumba ni kubwa. Au wew hata maneno yanakukosesha usingizi?
  4. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Amen
  5. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Hahaha ni serious mkuu, sasa kuoga miaka 12 almost ni kweli siogi nikatakata? Acha nijaribu pia ushauri wako mkuu
  6. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Amen nimajaribu kwenye maombi ila huwa vinatulia na baadae kurudi (hali ya kuwashwa)
  7. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Shukrani sana, acha mkongwe mshana jr nae aje atoe neno
  8. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    Shukrani sana mkuu!
  9. housekeeper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la jini mahaba

    habari wana jukwaa, Natumai sote ni wazima wa afya njema, na poleni kwa wenye changamoto za aina mbali mbali. Mimi ni kijana mwenye takribani miaka 32 kwa sasa. Nina changamoto ya vitu ndani ya mwili wangu ambavyo nahisi inawezekana kuwa ni jini mahaba. Baadhi ya changamoto nilizo nazo kwenye...
  10. housekeeper

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Carry ni 1tonne Yeye anahitaji 3tonnes
  11. housekeeper

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji binti wa kazi za nyumbani

    Habari wana jukwaa. Kuna binti anahitaji kazi za ndani (nyumbani) Sifa: Umri miaka 30 Dini mkristo Mwenyeji wa Tanga Pia kuna kijana anahitaji kazi ndogondogo. Kwa anayehitaji tuwasiliane. Asante
  12. housekeeper

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitabu vinauzwa

    havina kazi kwa sasa mkuu
  13. housekeeper

    JamiiForums Tanzania HUDUMA: Usafi wa majumbani na wahudumu wa kazi ndogo ndogo

    available
  14. housekeeper

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba mpya zinapangishwa Kitunda

    available
  15. housekeeper

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitabu vinauzwa

    habari wana jukwaa nauza vitabu vifuatavyo 1. business accounting 1 (11edition) 2. computing essentials 3. human and economic geograpgy. (advance level) 4. basic french (a course for beginners) 5. financial accounting (4th edition) 6. fundamentals of chemistry 3(3th edition) 7. biology (life on...
Back
Top Bottom