Kwa anayehitaji binti wa kazi za nyumbani

housekeeper

Member
Apr 21, 2020
31
104
Habari wana jukwaa.

Kuna binti anahitaji kazi za ndani (nyumbani)

Sifa:
Umri miaka 30
Dini mkristo
Mwenyeji wa Tanga

Pia kuna kijana anahitaji kazi ndogondogo. Kwa anayehitaji tuwasiliane.

Asante
 
Inabidi tupate muongozo unaobainisha range ya umri wa Binti.

Anayejua atupe huo muongozo
 
30 sio binti Ni mwanamke bana. Yaani Kuna baby ,child,girl,lady,woman,old woman ,older woman.
Kikwetu Kuna kichanga,Mtoto,msichana,binti, mwanamke,mama,Bibi. Ama kwa lugha yangu Basi nitawachanganya
 
Habari wana jukwaa.

Kuna binti anahitaji kazi za ndani (nyumbani)

Sifa:
Umri miaka 30
Dini mkristo
Mwenyeji wa tanga

Pia kuna kijana anahitaji kazi ndogondogo. Kwa anayehitaji tuwasiliane.

Asante
Kuna mama anahitaji nicheki pm
 
Back
Top Bottom