Recent content by houseboy

  1. H

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    Hivi mbona katika jamii forum watu wengi mnawasakama sana Kikwete na Mwinyi tu,katika kila kitu,mbona hoja mnazoleta hazina hata miguu,kuna ushaidi wa hili?au mambo mnayomsingizia huyu jamaa?.mbona mjomba wenu alipokua anajipa mali za umma mlikua hampigi kelele au mbona hakuna hata hoja moja ya...
  2. H

    Je, Kikwete ni mdini?

    Hivi kwanini watu wengi sana bado wana mawazo ya kizamani kwamba wao ndio wasomi na wengine hawakwenda shule.hivi mliokwenda shule mbona mnaongea humu jf bila data za kisomi,hakuna fact,mipumba mitupu.kama nynyi ndio wasomi wenyewe basi naisikitikia sana Nchi yangu Tz .Elimu yenu ndio...
  3. H

    Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

    Tatizo letu hapa ushabiki wa siasa tumeanza hivi karibuni katika siasa muda ni kitu muhimu sana jinsi chadema wanavyochelewa ndivyo ccm na rais wao anavyozidi kujimalisha ni ndivyo watu wengi wanapopoteza hamasa ya kushiliki .Kenge usipende kuropoka kama umekunywa maji ya ****** nili umenisikia...
  4. H

    Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

    Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na...
  5. H

    Mwalimu kufungwa miaka 2i jela.

    BigMgeni kosa kama ilo mi nadhani ni chini ya mwaka jela na kufukuzwa kazi.kwa maelezo zaidi nenda kwenye dailnews la leo .HELP TO FREE HER.
  6. H

    Mwalimu kufungwa miaka 2i jela.

    No mchizi mwalimu Rachel kafoji vyeti,ni kweli katenda kosa ila miaka 21 ni adhabu kali sana.mbona wakina nanii wapo huru na mivyeti yao ya kuchonga?
  7. H

    Mwalimu kufungwa miaka 2i jela.

    Jamani wanajamii naomba tujiunge pamoja kumsaidia Rachel,naona adhabu aliyopewa ni kubwa sana na ukizingatia kuna hadi mawaziri wana vyeti feki na wanapeta mtaani,sitetei makosa ya mwalimu lakini hii ni mbaya sana,invisible naomba ufatilie hili,Mwanakijiji kaanzi inabidi katembelee mahakamani...
  8. H

    Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa

    Yap Godwine siasa nzuri uchumi mzuri,itakua raisi kujua ni nani mtendji mzuri wa kazi za umma,kwa mfumo wa sasa raisi anakua kama mungu anachaua kila mtu mwisho kiranja wa shule atachagulia na raisi.
  9. H

    Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa

    waziri mmoja anatumia #I $million kwa mwaka,je 16 ?manaibu wao na makatibu .wizara tano nyingi sana.vipi jamaa hawa wakistaafu wanalipwa kiasi gani?.pato zima la nnchi linatumika kulipa viongozi tu.
  10. H

    Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa

    MFUMO WA SIASA---Tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa Mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara zisizozidi tano .wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nnje,wizara ya mambo ya ndani,wizara ya...
  11. H

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    mwanakijiji vipi ndugu yangu wewe na Daraja mna ugonvi usiokwisha,anyway unachosema kinaleta sensi kidogo,binafsi namfahamu mama ni mtu mzuri sana,mungu amlaza mahala pema peponi
  12. H

    Majibu ya salamu za mwaka mpya

    Asante sana Mheshimiwa Raisi wetu wa jamuhuri ya muungano kwa hotuba yako ya mwaka mpya,mimi kama mwananchi naomba nikujibu baadhi ya mambo uliyoeleza kwenye hotuba yako,na nitajibu kama ifuatavyo- (1)CCM NA CUF ZANZIBAR. Mh.Rais tatizo la Zanzibar linaweza kuleta matatizo makubwa...
  13. H

    Taifa Tanzania lapinga sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010!

    Tatizo ni kwamba Rais anashidwa kufanya kuwajbisha watendaji kibao ambao wanaimaliza Bongo na ushaidi upo kwa baadhi ya watendaji wake kuwa mafisadi,ruswa,kutumia mali za umma vibaya .kwa mtaji huo hafai kabisa kugombea urais,tunataka mchapa kazi ammbaye atahakikisha hakuna mafisadi,na watu...
  14. H

    Bwawani kununuliwa na wanablog?

    Jamani bwawani hotel inapigwa bei kuna uwezekano wajanja wakainunua kwa bei ya kutupa kabisa ,ivi kama watu 300 tukichanga $3000.00 kila mtu si tunaweza kununua badala ya kuwachia wajanja ambao watainunua kwa dola laki moja au chini ya hapo ,kama watu tupo tayali tufanye mambo itakuwa ni kitega...
  15. H

    Makosa ya Upinzani

    kwa utaalamu wangu nimegundua kuna matatizo makubwa matatu katika upinzani. 1-viongozi wengi wa upinzani ni ccm.chama hiki kimefanya kazi kubwa sana kuhakikisha vyama vya upinzani kuna mamluki wa ccm,na ndio maana kila upinzani ukija na mikakati fulani ccm wanapata habari na kuzima...
Back
Top Bottom