Recent content by Hosida

  1. H

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    Acheni Uchochezi wa ajira ya huyu dada, kwani akiachishwa kazi utapewa nafasi yake? Nyani kweli haoni kundule hivi TBC ni chombo cha CCM au Taifa? Mbona mwandishi alivyoruka leading story ya gazeti la Majira hukumsema? Ama kweli akili ndogo ni shidaaaa.
  2. H

    Lowassa funguka kila kitu kuhusu Richmond, CCM wanapanga kukuanika

    "We cannot Solve our problems with the same Thinking we used when we Created them" Albert Einstein a Scientist and Philosopher.
  3. H

    HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Hivi mpaka kikundi cha uhalifu kama huu kifikie hatua hiyo serikali ilikuwa likizo au? Tunao wanausalama kila kona ya nchi yetu wanafanya kazi gani? Kwa kweli hii inaonesha ni kwa jinsi gani Serikali yetu isivyo makini kwa Usalama wa Watu na Mali zao. Ushauri: Usalama uwasake hawa vijana na...
  4. H

    Jaji Mutungi kuapishwa leo

    Tunamtakia kila la heri!
  5. H

    Sakata la kodi ya Simcard: Rais Kikwete aingilia kati!

    Hili suala la tozo la sim card amelikomalia JJ Mnyika Je,JK anamwogopa huyu Dogo??
  6. H

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Mliopo Arusha tunaomba mtujuze, Makamanda wetu wameshatoka Police?
  7. H

    CCM wamgeuka RC Arusha: WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

    “Unapoingia katika mkakati wa kudhalilisha kiongozi wa serikali unakuwa umeiweka roho yako rehani, kuweni makini,” alisema. Haya maneno ni mazito sana na yana viashiria vya kuteswa na kuuawa kwa waandishi wa habari hapa nchini. Atatuambiaje
  8. H

    Iramba: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi!

    Maswali tu au kuna walichofanya? Uhuru wa Habari uliopo kwenye katiba yetu ya sasa uko wapi? Ibara yote ya 18 ya katiba yetu inatoa uhuru wa mawazo/maoni sasa hawa wanatumia kigezo gani kumkamata mwananchi kwa sababu ya kuhoji au kuuliza maswali? Tunakoenda sio kwenyewe.
  9. H

    Iramba: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi!

    Poleni kwa misuko suko Makamanda. Kazi ya ukombozi wa Taifa letu ni ngumu sana.
  10. H

    TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

    Asante kwa taarifa hii, tuendelee kumwombea mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kuvumilia mateso anayopata Ndugu yetu Kibanda. Get well soon Kibanda.
  11. H

    HakiElimu: Tanzania Haijawa na Mtaala wa Elimu Kwa Miaka Mingi

    Unaposema HakiElimu hawana lolote una maanisha nini? Utajuaje kama sio Mh. Mbatia ametumia sehemu ya Utafiti huo wa HakiElimu kuibua hoja hiyo Bungeni? Ninavyo wafahamu HakiElimu mimi ni kwamba hawakurupuki na wanapofanya tafiti zao wanaandaa ripoti ambayo wanawashirikisha wadau mbalimbali wa...
  12. H

    Mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari - Jan 22, 2013

    Asante kwa taarifa hii njema. Hope wenye access huko mtatujuza yanayojiri. All the best Makamanda.
  13. H

    CCM yakanusha tuhuma za CHADEMA

    Uzuri wa Vita ni kuwa ukishajua Maadui zako, mbinu zao na nguvu zao basi Utashinda vita hiyo kwa kishindo. Bravooooooooooo, makachero wa CDM
  14. H

    GE2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    Nalazimika kuamini kuwa uwanja huu umeingiliwa na wanafunzi wa sekondari za kata, hivi mwenye macho anaambiwa tazama? Je, kama madiwani hao walifukuzwa kwa sababu za Rushwa, ubadhilifu na utovu wa nidhamu kwa kuvunja miiko ya chama watabembelezwaje? CDM ni chama makini kinachojali utaratibu na...
  15. H

    CHADEMA haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi...

    "Mh Slaa aka Dr Slaa ni daktari wa theolijia" Sifa za uwanja huu wa Critical Thinkers ni pamoja na kuwa na uhakika na unachokitoa kwa wanajamvi. Nasikitika sana kuwa unajaribu kuchambua taaluma ya Dr. Slaa wakati huna details za taaluma yake. Kwa taarifa tu Mh. Dr. Slaa ni Daktari wa sheria na...
Back
Top Bottom