Recent content by Hopkinsvile

  1. H

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    mdanganye pale hata field atakapo kosa pa kufanyia
  2. H

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    kama ni ajira anatafta computer science haimfai kabisa bora hiyo accounts akiwa na vi CPA vyake. Labda awe wa kishua kama NALA
  3. H

    Samia kwanini unapenda maigizo!?

    poor Tanganyika
  4. H

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Kwa ufaulu wake akichagua hivyo MUST, DIT au ATC atalipiwa ada na kula bure inakuwa grant wala sio mkopo kama ạtajaza hizo form zao kama ataenda kama private anaweza pata mkopo japo sijui utaratbu mikopo ya dip
  5. H

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Computer science tu hamna kingine japo ningekuwa mimi saivi ningeenda uhasibu, make huku uwe engineer, daktari nk. mhasibu lazima akukalishe. Labda kama ana maidea ya kutengeneza kampuni yake sio kuajiriwa au aajiriwe sio bongo.
  6. H

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Kama anataka kuwa mnyama kwenye practical ATC, kama anataka kumeza prac kidogo na theory sana aende DIT na kama anataka GPA safi na afaulu kiulaini aende MUST
  7. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    Lazma uchoke oct 29 haikuwa mchezo
  8. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    kama akiwa na bahati sana, karume anakuzoom kaburini
  9. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    Kwenye movie tunaona ma tycoon wanacheza dili hata gerezani sembuse kubwa la maadui
  10. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    Nina uhakika utanenepa hutakuwa na stress tena za watanganyika
  11. H

    Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri. Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi...
  12. H

    Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Hiyo tưme hata ikifanya kazi kwa robo ya ukweli taarifa yake badi itajika kuhaririwa na abdul na mafwele ndio ije public
  13. H

    Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

    Duuh!!! kweli ni mzee wa kazi chafu
  14. H

    Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

    Mafwele haogopi hata laana za wazee kumbe
Back
Top Bottom