Recent content by hopemama

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi mume bora kati ya hawa wawili? Nahitaji washauri wazuri sana ili kunisaida kushauri

    aliyemfikusha ad apo alipo ndo anamfaaa mumeA ndo mwenyewe coz inaonyesha alikupenda kwa dhati ad kujitoa pesa zake kukusomesha chuo so uyo ndi sahihi kwako.one day utajutia coz wsnawake wengi wakisomeshwa mwisho wa cku huwasalit wspenz wao so b carefully
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Je, na wenyewe wanakuwa wametulia au nao michepuko mingi?
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    poleeeeee but shukuru mungu coz huwez jua mungu alikuepushia nin kwake
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia kupenda

    poleeeeee but myself i hate love
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa mabasi umeathiri kuripoti kwa walimu

    serikali iangalia kwa jicho la pli. mana wengine ad tufike vituo tulivyopangiwe cku mbili za kulala njian cku ya tatu nafika kuripot so mgomo umeharibu kila kituuuuu
  6. H

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    jaman naomba msaada anayeifahama vzuri Geita -bukombe
  7. H

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    tufahamiane bac wale waliopangiwa GEITA-BUKOMBE
  8. H

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Waliopangiwa Geita, wilaya ya Bukombe, au mtu yeyote yule anayeifahamu vizuri hiyo wilaya aniisaidie
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    mmmmmmmhhhhh
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

    for sure ni kweli wanawake wengi waliosomeshwa na maboyfriend wao bada ya kufanikiwa wanawasahau wale waliowapa maarifa.nawahate sana wanawake wenzangu wanaolimbukia maisha ya chuoni
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    asante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kaz coz napenda sana michezo so nitajiengage ktk kucheza mpira especially netball and basket
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    ni story ndefu sana
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    pouwaaaaaaa. but thanx
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    Kweli mungu ni mwena penzi la that halifi.but hongera sana kwa uvumiluvu wako
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana mwenyewe

    tatizo wanaume wengi ukiwa nao karibu watahitaji kuwa wapenz hilo ndo tatizo but ata mazingira niliyopo cwez kupata marafiki wengi wa kiumeee
Back
Top Bottom