Nachukia kupenda

Nachukia kupenda

kweli mwayego uache moyo wako ubakie na kazi moja tu ya kusukuma kimba! i mean kusukuma damu
 
Usichukie kupenda we were born with a long life thirst for love .kwanini ujitese wakat life is short .learn from your mistakes never give up to love had umpate mnayeendana.kwanza huyo alokuumiza yuko anakula bata we unajitesa tu hapa baada ya kufikiria mawazo ya maendeleo.wake up......
 
Hahahaha.....nyie ndo mnaoingiaga kichwa, miguu, tumbo, vdole mpk mackio... unajiaminisha vp 100% kua ulonae utaish nae milele ijapokua co mkeo!!??
 
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.

MPAKA hapo teali ushaonyesha nn unapenda, kupe unapenda kuchukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom