Mapenzi hayana mwenyewe

Mapenzi hayana mwenyewe

ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid. je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana
kipolo cha ubwabwa kinapashika vizuri tuuu!
 
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana

coz kama ulivyosema kuwa kumsahau ni ngumu bt ungejaribu kutueleza sababu ilikuwa nn kilichofanya muachane so hata cc humu jf tutakuwa na uwanja mkubwa wa kukupa mbinu mbadala kijana.
 
story ndefu sanaaaaaaa
 
Jaribu kuwa na marafiki wengi zaidi wa kiume (Simanishi wapenzi), kuwa nao "Busy" kati yao lazima kuna mmoja atakusahaulisha tu na utakuwa safi.

tatizo wanaume wengi ukiwa nao karibu watahitaji kuwa wapenz hilo ndo tatizo but ata mazingira niliyopo cwez kupata marafiki wengi wa kiumeee
 
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana

umenikumbusha mbaaaaali!!!miaka hiyoo nilipatwa na mkasa kama wako!!nikayachukia malovee na sikutaka kuanzisha mahusiano mengine tena!ikapita 2years kama wewe vile,nilikuwa namuota na kuwaza kila dakika!roho iliuma mfano hakuna!!ndugu na marafiki wote walishindwa kuturudisha pamoja!ahahaha.

Mwisho nikakata tamaa ikawa sipokei zake wala sms sijibu,nikawa na hasira kwelikweli juu yake mwishowe nikahamia kwa sister wangu mkoa mwingineee!

Wiki tatu baada ya kuhama nikashangaa bwana mkubwa huyu hapa mlangoni na am sorry kibao!blah blah zikaendelea miezi miwili mbele tukafunga ndoa.

Mpaka leo namuuliza ilikuaje ukarudi tena hanijibu zaidi ya kua mkali kama pilipili ili usimuulize tena maswali ya namna hiyo.

Unaweza ukatokewa na miujiza kama wa kwangu,usikate tamaa dada penzi la kweli halifi.
 
Kweli mungu ni mwena penzi la that halifi.but hongera sana kwa uvumiluvu wako
 
coz kama ulivyosema kuwa kumsahau ni ngumu bt ungejaribu kutueleza sababu ilikuwa nn kilichofanya muachane so hata cc humu jf tutakuwa na uwanja mkubwa wa kukupa mbinu mbadala kijana.

ni story ndefu sana
 
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana

dada yangu cha kukushauli ni kufanya shughuli unazozipenda binafsi mimi napenda kucheza na kuangalia mpra znaniondolea stress so nakushauru penda kufanya shughuli ambazo znakufurahisha na kukuweka bize, ckushauli kuckilza music itakupa mawazo, fanya shughuli ambazo zitakuhangaisha
 
Attachments

  • 10411934_844273262270165_7916177962316118691_n.jpg
    10411934_844273262270165_7916177962316118691_n.jpg
    83.7 KB · Views: 347
dada yangu cha kukushauli ni kufanya shughuli unazozipenda binafsi mimi napenda kucheza na kuangalia mpra znaniondolea stress so nakushauru penda kufanya shughuli ambazo znakufurahisha na kukuweka bize, ckushauli kuckilza music itakupa mawazo, fanya shughuli ambazo zitakuhangaisha

asante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kaz coz napenda sana michezo so nitajiengage ktk kucheza mpira especially netball and basket
 
Kama anakupigia cm mtege tu nae lazma anakukumbuka angekua nunda asingekupigia sm huyo bado kiroho kinamruka, mi nikiachana na dem nkimpigia cm kapokea huyo lazma nimle tena. kwa wewe dem rais sana kumtega huyo dume lako akipiga sm easy your heart then chart nae kawaida usijikomit sana sometims akipiga potezea ili kumwonesha jealous atarud tu
 
Namba yake weka backlist ili asikupigie hapo hutamkumbuka.
 
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana

mseme msemavyo yote ni bure, kwani mapenzi iiii!! hayana shule eeeh - hao vijana jazz enzi za hayati Hemed Maneti
 
Back
Top Bottom