Recent content by hope hope

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima...
  2. H

    Mkuu hyo nishapima na waksema iko poa kabisa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Mimi ni muathirika wa ugonjwa wa Kisukari lakini kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukari iko normal kabla sijala inasoma tano nikiwa nmekula ni saba na vipoint Shida ni kua mwili wangu bado umendea kua dhaifu sana, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima...
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Du aise....sijuh nmekosea wap kujieleza
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamu
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Asante
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka siri sms zangu

    Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Sawa, kama haiw ndoa ikitokea mmekaa nae huo mda mkaja mfano mkatofautiana si yanaanza mambo ya kugawana mali? Au sijaelewa?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Poua japo majibu yanatofautiana sijuh hapa lipi sahihi
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Niulize wanasheria ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya Juisi ya viazi mviringo?

    Habari za huku, Naomba kwa anaejua madhara ya juisi ya viazi mvirngo anisaidie mana nimekua nikiitumia kama tiba ya vidonda vya tumbo (kuondoa acid tumboni au kupunguza ges) lakin naona kila nikiangalia google wanasema kama una matatizo ya kuumwa viungo vya mwili usiitumie kabisa sasa nashndwa...
Back
Top Bottom