Nini madhara ya Juisi ya viazi mviringo?

hope hope

Senior Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
138
Reaction score
74
Habari za huku,

Naomba kwa anaejua madhara ya juisi ya viazi mvirngo anisaidie mana nimekua nikiitumia kama tiba ya vidonda vya tumbo (kuondoa acid tumboni au kupunguza ges) lakin naona kila nikiangalia google wanasema kama una matatizo ya kuumwa viungo vya mwili usiitumie kabisa sasa nashndwa kuelewa labda inakua na shda gani?
 
Kama ulivyo ona katika google kuwa usifuate .Ukitaka dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo nitafute kwa wakati nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.
 
Back
Top Bottom