Taarifa ya kinachoendelea katika utekelezwaji wa vipaumbele vilivyopitishwa katika mradi wa TUSHIRIKISHANE kwa jimbo la Kigamboni.
Mikakati ya kuboresha huduma za afya jimbo la Kigamboni, serikali kupitia wizara ya afya mwishoni mwa mwaka 2016 iliipatia halmashauri ya Kigamboni gari la kubebea...
Taarifa ya kinachoendelea katika utekelezwaji wa vipaumbele vilivyopitishwa katika mradi wa TUSHIRIKISHANE
Mpango juu ya matengenezo ya kipande cha barabara ya kutoka darajani hadi kwa Msomali kwa kiwango cha lami
Taarifa rasmi hadi hivi sasa ni kuwa fedha ya mradi imeshatengwa ambayo ni...
Taarifa ya kinachoendelea katika utekelezwaji wa vipaumbele vilivyopitishwa kuingia katika mradi wa TUSHIRIKISHANE.
Taarifa ni kuwa kwa maeneo yasiyo kwenye mtandao wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu (Phase III) yaani maeneo kama vile Tundwi songani,Kimbiji, na Kisarawe II yapo mbioni...
Sehemu ya Taarifa juu ya kinachojiri katika utekelezwaji wa vipaumbele vilivyopitishwa katika warsha ya ufunguzi wa mradi wa TUSHIRIKISHANE.
Taarifa ni kuwa ifikapo mwezi Januari mwaka 2017 Kigamboni inategemea kupata kivuko kingine ambapo jumla kufanya idadi ya vivuko kuwa vitatu.
Hii ikiwa...
MRADI WA TUSHIRIKISHANE JIMBO LA KIGAMBONI:
Taarifa fupi ya Maendeleo ya mradi Wa tushirikishane katika jimbo la Kigamboni.
Yapata mwezi mmoja sasa yangu kuzinduliwa kwa mradi Wa tushirikishane unaoendeshwa na jamii media katika majimbo kadhaa...
Muda sio mrefu tutaanza kupata updates za kutosha juu ya kile kinachoendelea juu ya utekelezwaji Wa ahadi zilizopitishwa katika warsha ya tushirikishane..
tupo kwenye kuzichakata taarifa....ucjali ndugu
Hapo Hillary hana budi kukubali kilichotokea ingawa kampeni zake zilikuwa za ushawishi lakini wapiga kura wake wamemuangusha sana...lakini nadhani ni wakati Wa republican kuhodhi nguvu ya madaraka.
Kigamboni ni moja kati ya maeneo yanayokua kwa kasi hapa nchini Tanzania ,kila uchao eneo hili hupokea idadi kubwa ya wakazi na wawekezaji wapya hivyo kupitia vipaumbele hapo juu kwa kuvitekeleza kwa wakati na kupitia mradi huu wa Tushirikishane naamini jimbo hili litapiga hatua kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.