Recent content by HoneyBee

  1. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamtwangaje mumeo shoka la kichwa kisa amekusaliti?

    Kama wanashindwa kujizuia kuchepuka na wasioe
  2. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Liwe fundisho kwako na mke wako kumuachia mtoto aangalie movie za wakubwa. Movie zinakuwaga na umri umeandikwa Kwa sababu kama hizi. Watoto wadogo hawatakiwi kujua mambo ya mapanga panga. Si ulitaka dume katili basi amekufanyia huo ukatili, hongera.
  3. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kukutana na mtoto wa kishua...

    "tabasalamu" 🙄🙄
  4. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

    Aisee nimecheka! Imagine mmeo anakwambia ningeweza kuwa na malaya kila siku Ila nikaamua kukuoa wewe (na anategemea umshukuru Kwa hilo) . Khaaaa! Yaani ntamuona mwanamme fala Kweli na nimekosea kuolewa nae. Nonsense!
  5. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

    Hiyo inaitwa stealthing. Ni kosa kisheria unaweza ukafungwa.
  6. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

    Tena asilimia kubwa wanavumilia yote na hata hizo Hela hakuna !!
  7. HoneyBee

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Basi kama Dini yako hairuhusu si uache? Kafanyiwe maombi 🧐🧐
  8. HoneyBee

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Ukivuta inakuwaje? Unataka kuacha sababu watu wanasema Ni mbaya au sababu Ina side effect mbaya?
  9. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi umewahi kuona watu kutoka Asia wameoa au kuolewa na Waafrika?

    Hizo combination zote + mwafrika nani kasema hazipo? Combo ya Africa + wazungu Ni more common sababu ya historia (colonies) na pia lugha, Dini nk zinaendana Zaidi.
  10. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Dada wa Mo Dewji (Fatma Dewji)

    I hope you don't believe that...
  11. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Dada wa Mo Dewji (Fatma Dewji)

    Damu chafu ndo ikoje
  12. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenu wanawake wa humu jamvini

    Kama hujanielewa babu labda dementia inakunyemelea..
  13. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

    Swali, Hii Kazi za kusugua miguu imepataje kuwa kazi ya kiume hapa bongo wakati nje ya nche wengi wanaoifanya ni wanawake , hasa hawa wenye asili ya ki Asia?
  14. HoneyBee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenu wanawake wa humu jamvini

    Nikuambie Siri kadhaa.... Sisi wanawake tuna macho. Macho MAWILI. Usishangae. Ni Kweli kabisa. Miaka 26 tu atajuaje tofauti kati ya kojo la kwanza na zingine? Macho na kumbukumbu nzuri. Mungu alivotuumba alitupendelea sana.
Back
Top Bottom