Recent content by Honey K

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Hivi wewe unamjua babaako au mpaka umeambiwa na mamaako?!!! Bangi zingine!!!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Bangi zingine bhana! Nape haonji pombe....
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Daudi sasa mapovu ya nini? Unatutia kichefuchefu bhana na mapovu yako....
  4. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu: Ikipaswa nichague kati ya nchi yangu na Chama Changu...

    Katika ukomavu na uzalendo wa hali ya juu, Prof. Baregu kawajibu viongozi wa juu ya CHADEMA kile wasichokitarajia. Alitakiwa kujitoa tume ya marekebisho ya katiba Prof.akajibu.."if i have to choose between my country and my party I shall choose my country! "Sikubaliani na ushauri wenu wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya kisiasa kufanya vikao na watendaji wa serikali ni halali?

    Nilitaka kukupa ngumi za uso lakini maneno yako ya mwisho yamekuponya kuwa kama umekosea urekebishwe...sasa sikiliza...... 1. Ndo maana ipo tofauti ya Chama kilichopo madarakani na Chama cha upinzani. Haviko sawa ndio maana wapinzani hawana uwezo wa kukagua utendaji wa serikali kwasababu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Mbona husemi kuwa alikuwepo kada wa Chadema katika vijana waliotaka kumuua mama Zitto?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nape awatimua management ya Mtibwa kwenye msafara wa CCM Turiani

    Jamaa moja ananiambia ni kweli na alihoji ushiriki wa Mkapa kwenye kiwanda hicho....loading....
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nape awatimua management ya Mtibwa kwenye msafara wa CCM Turiani

    haya yanaweza kuwa maneno ya Nape kweli? QUOTE=Kageuka;6169155]Vuvuzela wa CCM Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa miwa mtibwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nnauye: Viongozi wengi Chadema wanaganga njaa...

    Adai wanaganga njaa kwenye siasa. > Asema wanalojua ni kung'oa kucha watu. > Laana ya damu kwenye operesheni zao inawatafuna. > Wanataka madaraka kwa gharama yeyote. > Awataka wananchi kuwa macho nao. Ameyasema hayo kweny mkutano mkubwa hadhara mjini Kilosa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Abdulrahaman kinana na Nape Nmauye ndani ya ifakara.

    Nadhani si bure magamba wamewaroga watu hawa, maana walikuwa wanakimbia kurudisha kadi za CDM kama vile zinawasumbua mikononi mwao....
  11. H

    JamiiForums Tanzania Abdulrahaman kinana na Nape Nmauye ndani ya ifakara.

    Hana haja ya picha mie nimehudhuria mkutsno kidogo niwatukane makafiri hawa, eti wanatupa kadi za chama changu hadharani,sijui wamerogwa nini na magamba...nyambafu zao
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    MASIKINI RAILA KAPONZWA NA MAGWANDA........gunduuuuuuuuuuuuuuuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hali ya Siasa Nchini

    leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa. Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dodoma: UVCCM wafukuzana, Paul Makonda afukuzwa ujumbe Baraza Kuu Taifa

    leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa. Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

Back
Top Bottom