Recent content by honey bee

  1. honey bee

    Special thread: Changamoto unazokutana nazo Jamii forums

    Wamefuta tena uzi wangu wa jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii? Nahisi wameichoka ID yangu! Tukutane kesho kwenye ID mpya! Kwa herini! The end of honeybee ID
  2. honey bee

    Special thread: Changamoto unazokutana nazo Jamii forums

    Habari wana jamii forums, Sidhani kama hata huu uzi utaachwa salama Tatizo langu ni kuwa mbona nyuzi nyingi ninazotengeneza zinaishia kufutwa? Najiuilza ni kwa nini! Kwa kuwa kuna nyuzi zinakuwa na mantiki na zinachangiwa hoja na wanajamii forums wabobevu ambao ukiona mawazo yao kwenye uzi wako...
  3. honey bee

    Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Kama ushauri wangu utakuwa na maana uchukue, kama hauna maana tupa kapuni! ✓ jitenge na mnyororo wa ukoo wenu kiroho, hapa mtafute sheikh akupigie dua, anakutenganisha! Ukoo wako unaanza rasmi kuanzia kwako! Make issue kama hii hurithishwa (sometimes) ungelikuwa Mwanza ningelikupa address ya...
  4. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Ok, ngojea nirudi darasani, ntakujibu kwa haka ka uelewa kangu kadogo nilikonako! Kwenye ubongo kuna sehemu inaitwa temporal lobe, inapatikana kwenye ubongo ikiigemea zaidi ubongo wa mbele, ambayo huhusika na taswira Ili ndoto itokee, condition ya REM lazima iwepo yaani Rapid Eye Movement...
  5. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Naweza sema utofauti upo, Make kila tukio la tofauti linapopita, utakuwa excited lakini nafsi yako itatulizwa ghafla! Mfano, ishawahi kukutokea kuwa uko unaongea na mtu fulani mko mahali fulani, halafu maneno unayoyazungumza au anayoyazungumza, unagundua kuwa ushawahi zungumza naye au ashawahi...
  6. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Ooh!! Kuna faida ambazo nilielezewa mwanzo kabla ya kufanya vitendo hivi! Na pia hasara zake! Nitaandaa uzi maalumu kuonesha yale niliyoyapitia katika vitendo vyote hivyo nikihusisha faida ambazo nimezishuhudia mimi kama mimi na hasara ambazo zilinikumba!! [emoji120][emoji120][emoji120]
  7. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Hapana mkuu, Mimi sio mganga, sio mchawi Ni binadamu tu tena mkristu dhehebu X Niliweza kufanya hivi vitu kwa mamlaka yangu binafsi! Kama ukiweza kujiunganisha mawasiliano na uhai wako (pumzi yako) unaweza kabisaaaa! Mwanzoni sikuamini, nilipoyasikia haya kwa Rakims niliamua kuanza majaribio...
  8. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Ndio mkuu, Unaudanganya mwili kuwa umesinzia, Baada ya muda, ubongo wako unakupiga ganzi ili ndoto zikikuanza, matukio ya ndoto yasijitokeze yakauvuruga mwili wako! Mfano kuna wale wanaota wanaongea, na kweli anakuwa anaongea akiwa usingizini! Watu hawa bongo zao huwa haziruhusu kupigwa ganzi ya...
  9. honey bee

    Binaurial beats zinazoamsha nafsi yako

    Nitaandaa uzi maalumu niwaeleze yote, faida na madhara niliyoyapata baada ya ku activate nafsi kwa hizi binaurial beats pia kwa kutumia pumzi yangu mbali na binaurial beats!
  10. honey bee

    Binaurial beats zinazoamsha nafsi yako

    [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777] Usijaribu kila kitu, hiyo ni kwa ajili ya amani ya moyo wako! Ukikusudia kuanza michezo hii, hakikisha unajipanga kwanza! Make utakapoanza tu hutotamani kuacha, sema itakutesa sana! Utakuwa unawaona binadamu wenzako kama vile sio level zako tena! Utakuwa...
  11. honey bee

    Je, umewahi kughairi mechi ya kula/ kuliwa tunda? Ilikuwaje?

    Ni pale tu nimevuta demu lodge, cha ajabu nakuja kumvua, nakutana na papuchi halafu juu yake dushe linaning'inia! Halafu ananambia nisiogope eti dushee halifanyi kazi!! Mimi huyu, nikaona nisije kujutia maisha! Kwa kuchanganyikiwa nikajikuta namwambia ngoja nikanunue tishu narudi sasa hivi...
  12. honey bee

    Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

    Nampata vipi? [emoji26][emoji26][emoji26]
  13. honey bee

    Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

    Ilikuwa ni account ya mdada, sema nilipenda kuitumia [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Nabadilishaje username?
  14. honey bee

    Binaurial beats zinazoamsha nafsi yako

    Kabla ya kusema chochote naomba kuwafahamisha, mimi sio mganga, sio mama jusi, sio mtabiri, sio mnajimu, simu sheikh bali ni mtu tu kama watu wengine ambaye napenda kujaribu mambo ili kuuthibitisha ukweli wake! Kuna issue niliwahi kuiskia before, kuwa unaweza kutoka nje ya mwili au kufanya...
  15. honey bee

    Threads zilizoharibu saikolojia yangu

    Siku zote hakuna jambo la kitofauti ambalo huwa linanipita bila ya kulifanyia jaribio!! Ideas za kuyafanya haya yote nilizitoa kwa watu fulani! Na ilikusudi hufanikishe haya yote, unahitaji utulivu wa hali ya juu!! Binafsi sidhani kama mtu ambaye yuko hallucinated kuwa anaweza kufanya haya, ni...
Back
Top Bottom