Special thread: Changamoto unazokutana nazo Jamii forums

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Habari wana jamii forums,
Sidhani kama hata huu uzi utaachwa salama

Tatizo langu ni kuwa mbona nyuzi nyingi ninazotengeneza zinaishia kufutwa?
Najiuilza ni kwa nini! Kwa kuwa kuna nyuzi zinakuwa na mantiki na zinachangiwa hoja na wanajamii forums wabobevu ambao ukiona mawazo yao kwenye uzi wako unaona kabisa mada unayoiongelea kuwa ina mashiko kwa % kadhaa!!
Lakini mwisho wa siku ni kufutwa:
Mfano: uzi niliouliza kuhusu dawa za kuongeza ukubwa wa uume zinazotangazwa kwenye mitandao ya kijamii zinaleta matokeo chanya?
Uzi umeondolewa! ilhali nyuzi nyingi za siasa ambazo kidogo zina ukakasi zinaachwa!!

Kuna wakati niliwahi kiliongelea hili mwaka jana, nikakuta PM ya mtu X akiniambia fungua uzi wako ambao hukuwa na uwezo wa kuufungua! Nilipoufungua ukafunguka kweli, najiuliza management ya site hii iko mikononi mwa participants kama sisi?

Nyongeza: nilivyo request kubadilishiwa jina (username), sijaona mrejesho! Lakini uzi wangu ndani ya dk 10 ushawekwa kwenye dustbin

Mwenye kero nyingine awasilishe, ili waone ni vipi watatusaidia!

Ila sina uhakika kama huu uzi utadumu ndani ya dk 10
 
Nimekuonea huruma jinsi unavyolalamika.

Sio vizuri wanavyokufanyia.
 
Wamefuta tena uzi wangu wa jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii?

Nahisi wameichoka ID yangu! Tukutane kesho kwenye ID mpya!

Kwa herini!
The end of honeybee ID
 
Back
Top Bottom