Recent content by homz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tunduru Kaskazini kuna Kata 24, 11 zimechuuliwa na CUF ambazo ni Ngapa, Tinginya, Nakapanya, Ligunga, Kidodoma, Nandembo, Nampungu, Nanjoka, Majengo, Mlingoti Mashariki. Tunduru Kusini kuna Kata 15, 3 zimeenda CUF nazo ni Nalasi Mashariki, Nalasi Magharibi na Mbati zilizobaki zote CCM. Majimbo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Utangulizi na misingi ya ilani ya CHADEMA/UKAWA 2015

    Historia inaonyesha kuwa Vyama vikongwe Barani Afrika vimeanguka kutokana na sababu mbalimbali hasa kukithirikwa umasikini na ukosefu wa ajira; ajira za upendeleo;kukua kwa matabaka hasimu kwenye jamii; rushwa, ufisadi,ubadhirifu na matumizi ya anasa serikalini.CHADEMA inatambua sababu kuu nne...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa kaua vipaji vya wanasiasa vijana ndani ya UKAWA

    Subiri oktoba 25 ndo utajua
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Safari inaendelea, CCM out
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimeamini: Bora mbeba mabox Ulaya kuliko mshinda ofisini Bongo

    Unaweza kuwa fundisha kwa ukarimu wako, wakajua kuwa usimdharau usie mjua. huenda ikasaidia walioko nyuma yako. SAMEHE ILA USISAHAU
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe

    ukidharau la Escrow, hutolishangaa la hawa manesi wetu. Anajitolea kwa moyo wote halafu anasikia mafisadi wanapeta uraiani pamoja na ushahidi wote, kwa nini asijiulize mara mbilimbili uadilifu wake una maana gani? POLENI WAHANGA
  7. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    ulitaka amezee? ha haa haa :teeth:
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Waziri Pindi Chana aichangia elfu 15 Shule iliyoezuliwa kwa Upepo

    kaazi kweli kweli
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ibn Sina, Mwanasayansi wa Kiislaam

    Jina hasa la Ibn Sina ni Abu 'Ali al-Husayn bin ‘Abdillaah bin Sina (alizaliwa mwaka 980 katika mji wa Afshana karibu na mji wa Bukhara. Na wengine wanasema alizaliwa mji wa Balkh huko Afghanistan, mamake alikuwa raia wa Fursi na babake mkusanyaji kodi kutoka Balkh chini ya Ibn Mansuur...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

    kwani kiongozi kuwapisha wengine nongwa? wenye mapenzi mema na tz waendelee alipoachia
  11. H

    JamiiForums Tanzania Vurugu zinaendelea Mahakamani kesi ya Zitto

    iko siku cdm wataujua ukweli wa wanaowaita wakodiwa, IPO siku
Back
Top Bottom