Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

Mwenyekiti kachoka kuwa msukule wa kaskazini kajitambua, bora kaondoka kawaachia chama chao cha ubaguzi, mtu akihoji tu matumizi ya chama anaitwa msaliti.

Hata kama akihama,waingiao ni wengi kuliko watokao,siasa za book7 haziwezi kumsaidia,chadema tunamruka ,tunasonga!!
 
Iliyokuwa CHADEMA inavuna kile ilichokipanda ndani ya chama kupitia baadhi ya viongozi wake wakuu. Huwezi kupanda ubaguzi ndani ya chama na ukavuna umoja na mshikamano. La hasha.

Viongozi wa CHADEMA hawakukimbia kujificha kwenye kivuli cha kikundi cha UKAWA by chance. La hasha.

The Universal Law states that nothing happens by chance or outside the Universal Laws. Every action has a reaction or consequence.

Ungefanya utafiti kidogo kabla,mana amejiuzuru kwa namna ya tofauti na unavodhani
 
kwani kiongozi kuwapisha wengine nongwa? wenye mapenzi mema na tz waendelee alipoachia
 
Mwenyekiti kachoka kuwa msukule wa kaskazini kajitambua, bora kaondoka kawaachia chama chao cha ubaguzi, mtu akihoji tu matumizi ya chama anaitwa msaliti.

Nauliza watu wa kaskazini na wakatoliki waliwakosea nn CCM? Endeleen tu kuwatukana lakin mtakutana nao kwwnye sanduku la kura
 
kachoshwa na ubabaishaji wa chadema chama cha kikabila kinachobagua baadhi ya watu.

Ccm Endeleen tu kuwatenga watu wa kaskazini na wakatoliki lakin mrakutana nao katika sanduku la kura
 
Bwana Matiko Matare aliekuwa Mkiti wa CHADEMA kanda ya Kusini amejiuzuru nafasi yake.

chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita

Hivi siku hizi Radio One wanasoma Taarifa ya Habari saa sita! Au ni kwa saa za Afrika ya Kati?
 
Ukabila na ukanda pia matumizi ya Jimbo Moja tu la HAI Rudhuku inayopelekwa ni mara kumi ya kanda ya KUSINI yote yenye majimbo kama HAI zaidi ya 25.Ubaguzi noma!!!

Nauliza tena kaskazin na wakatoliki wamewakosea nn CCM? Sawa endeleen kuwatukana mtakutana nao katika sanduku la kura.
 
Nauliza tena kaskazin na wakatoliki wamewakosea nn CCM? Sawa endeleen kuwatukana mtakutana nao katika sanduku la kura.

Ukatoliki wameingiaje?wakatoliki ndio wanaotawala,Ikulu wamejaa wao,mfano mdogo Waziri mkuu,Membe,Chikawe Mwanasheria mkuu,Dada Udini usiuwingize hapa.Ruzuku CDM wanajua Watu watatu tu yan Mboe,Slaa na Komu wanatoka kanda moja.WanaCDM wengi inawakera, Chama munakivunja kwa mikono yenu!!
 
Nawangoja Kisesa Mwanza udiwani gape la Mabina nafanya finishing CCM mkitoboa najiua.
 
Hongera pia pole sana ni vema ukajua CDM ni mbadala. Usifikiri akili za CDM zipo kama za CCM, hawa ni watu makini. Ivi mleta mada nikikuliza ivi (UNAJUWA UNAISHI UMRI GAN UTAJIBU NN??? kwa kifupi ni kwamba hawa madogo njaa wamelata iyo. Mada ipate mawazo ya CDM wakachambue minofu
 
Magamba hayo yanaanza kupukutika, aondoke tu, tumemfukuza msaliti mkuu MM na bado tunasonga.

Huyo sisimizi wala hana madhala, kwa sasabu yeye ni msimamizi tu. Hana nguvu yoyote.

Chukueni gamba lenu..

Kwa hivyo viongozi wote wa cdm mikoani watakuwa ni sisimizi au vinyago mlivyovichonga. Basi inamaana sisimizi au kinyongo wakipata sauti huru wanatimuliwa na wanaobaki ni sisimizi na vinyago vizivyo na sauti na hao ni wazuri. CDM kimekuwa Chama cha Diktetors na Malumbano
 
Haya ndo maamuzi ya watu waliyoanza kujitambua. Hawa jamaa kwa kuhoji matumizi ya serikali ni wa kwanza huku wakirundika utitiri wa tuhuma za kifisadi. Kumbe wao ndo mafisadi wakubwa wa mali za chama na ruzuku ambayo ni kodi ya wavuja jasho. huyu jamaa utasikia wataanza kusema kwamba huyu mwenyekiti anatumiwa na ni msaliti mkubwa. Kumbe jamaa kajitambua kuwa alikuwa anashibisha matumbo ya watu huku yeye akiendelea kukondeana. Kama kawaida ya watu ambao thinking capacity zao ni za panya, watakuja humu jf na mitusi ya kutosha bila kukumbuka kuwa wahenga walisema "Bandu Bandu humaliza gogo" Chama ndo hicho kimebaki na bendera ya UKAWA. Siku CUF wakijitambua kwamba wameingizwa mjini na kujiondoa basi tena CDM itakuwa kama mabaki ya wali ambayo hayana tena ladha midomoni mwa walaji.
 
Ukabila na ukanda pia matumizi ya Jimbo Moja tu la HAI Rudhuku inayopelekwa ni mara kumi ya kanda ya KUSINI yote yenye majimbo kama HAI zaidi ya 25.Ubaguzi noma!!!

Hapo naona hamna sababu zenye mashiko , hizo ni propaganda zile zile za ki-ccm zilizoshindwa.
 
Ukatoliki wameingiaje?wakatoliki ndio wanaotawala,Ikulu wamejaa wao,mfano mdogo Waziri mkuu,Membe,Chikawe Mwanasheria mkuu,Dada Udini usiuwingize hapa.Ruzuku CDM wanajua Watu watatu tu yan Mboe,Slaa na Komu wanatoka kanda moja.WanaCDM wengi inawakera, Chama munakivunja kwa mikono yenu!!

CCM haiwapendi watu wa kaskazini na wakatoliki kama huamini muulize faizafoxy, ritz and the likes. Wanataka nchi iendeshwe kwa sharia.
 
Huyu mheshimiwa aliwasulubu vizuri sana akina Kitila siku ya kamati kuu, na alionekana hero. Leo anamwagiwa kila aina ya matusi, kisa amejiuzuru bila hata kujua sababu za kujiuzulu. Kwa kweli kuwa mfuasi wa chadema ni kujitakia laana
 
Back
Top Bottom