Recent content by HOMOSAPIEN

  1. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Uongo, Mimi nilianza Kazi 1981 kwa mshahara wa Tshs 650/= hakuna tofauti na mwaka 1980
  2. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Fabrice Ngoma ni mnyama

    Mbona alikuwa kashtakiwa na timu yake ya Al Hilal FIFA?
  3. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Naamini iko siku serikali yetu itamchukulia,hatua huyu mchungaji sijui Nabii! Kwani sasa kaingia kwenye utapeli kwa kujificha kwenye Neno la Mungu, au afanye ziara Rwanda akakutane na mkono wa Chuma wa Kagame
  4. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

    Yanga ni timu ya wananchi siyo ya Karia na vikaragosi vyake
  5. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania GSM anasifiwa etu tajiri hana akaunti tweeter na insta,sasa ata tweet nini na hajasoma?

    Hata Mimi maskini sina hizo akaunti za nini sasa
  6. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

    Wacha kumnanga mchezaji, hiyo nu biashara yake, vipi kama angesajili Simba, ungemnanga? Kama vipi na wewe nenda ukasajiliwe, hata asipocheza mwaka mzima bado atabaki kuwa mchezaji wa Yanga, Mbona wapo waliolipwa mishahara ya mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote
  7. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

    Asubiri misumari
  8. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Team JPM ni akina nani?

    Hawaaminiki tena, kama hawa ndiyo kina Sabaya ni nani atawaamini? wanataka watawale ili nchi iwafanyie nini? au waifanye nini nchi
  9. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Wacha ujinga wa ukabila jitahidi kusoma kwa bidii, kuwa Msukuma kisiwe kigezo cha ajira, iko siku wataajiriwa 100% wachaga, vipi unaelimika unashindwa interview unataka uajiriwe kisa Mkurya fyoooo!
  10. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Nani anawalinda waliovamia na kupora Meku’s bar?

    Haki haiombwi inapiganiwa, pigana utapata haki yako yote na faida
  11. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI inakuwaje mtu kafaulu zaidi masomo ya Sayansi halafu ninyi mnampangia HGL, masomo yenye ufaulu hafifu?

    Akalalamike atabadilishwa, hata wanaopanga ni binadamu
  12. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Spika tulia na wakina Mdee bado wanatuchezea

    Tuma muhtasari wenye Majina na sahihi za waliopiga kura ya maamuzi tuone kama atapindisha
  13. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

    Chama cha Familia ni CCM kwa sababu Hivi sasa viongozi wake wengi ni watoto au ndugu wa waliokuwa viongozi sina haja ya kutaja majina
  14. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Filamu ya 'The Royal Tour' itavutia watalii na wawekezaji

    Nadhani kwenye hili siasa ingekaa pembeni, UVCCM wakae pembeni watu huko duniani wanataka kuona authenticity ya nchi Tanzania siyo siasa za divisions
  15. HOMOSAPIEN

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

    Waanzishe hata Magufuli Party, lakini imebaki historia, Mheshimiwa atakumbukwa tu kwa aliyotenda yawe mema au mabaya yote yatabaki kuwa historia na haijirudii
Back
Top Bottom