Recent content by Hommy

  1. Hommy

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    mim nlikuwa natumia toleo la zaman ila nalo naona liko poa sana ingawa jipya nalo ni moto zaidi kwa izo dashboard zake
  2. Hommy

    JamiiForums Tanzania Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Kama hapa tu ni mwana ccm ngazi ya kitongoji tayari umeishakuwa kopo hivi na je ukifikia ngazi ya wilaya na kikawaida inafahamika utaratibu wa ccm ili kupanda daraja ni lazima uwe mbumbumbu na kilaza wa mwisho
  3. Hommy

    JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    nimechunguza sura zote kwa makini sijaonapo ambae sio mlevi wa matapu tapu hao wamepewa buku mbili mbili
  4. Hommy

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    Ukisikia samaki mmoja akioza ndio hao sasa maana shoga akipelekewa moto na asie shoga anaisikilizia
  5. Hommy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

    safi ngoja tuone respond yake
  6. Hommy

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    kwaio kati yao mkono ulio teuliwa kujitawazia ni wa nani
  7. Hommy

    JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hivi huyu anafikiria kwa kutumia matako au? hata kenya na SA tu wanatutoa jasho mpaka tunahisi kizungu zungu leo anaongelea USA na EUROPE
  8. Hommy

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa Nina Watu 100 Wamehamasika Twende Tukaiondoe Morocco Ijumaa, Wewe Unangojea Nini

    kuja sio tatizo kabisa ila tatizo ni pale tunapokuja kibao kinageuka inakuwa ni mama mama mama kwakweli hapana mimi na mjita zangu tumekubaliana hatukanyagi huko tukisikia kelele tunafungulia radio na kisha tunazima tena
  9. Hommy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    ana appearance ya kicomedian comedian design ya kingwendu
  10. Hommy

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuanza kutumia software ya 'Gavana' kwenye biashara

    ina offer zake ila kuanzia miezi mi tano
  11. Hommy

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    serikali haipaswi kuingilia kilicho ndani ya kanisa mnataka kuelekeza na vifungu vya kuhubiri sasa
  12. Hommy

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    In CCM, common sense is not common.
  13. Hommy

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    kama hata makanisa yenyewe mnayafunga hovyo mnataka wakasalie wapi sasa
  14. Hommy

    JamiiForums Tanzania Watoto wangu wakikua watanipenda zaidi wakijua wamechukua uzuri wangu

    sometimes uzuri ni mkosi wasimbe wengi na barmaid ni pisi kali chunguza ukiwa mzuri sana unaliwa unapotezewa
Back
Top Bottom