Recent content by hometown

  1. hometown

    JamiiForums Tanzania Benchika atangaza vita dhidi ya Al Ahly

    Awe makini tu maana vichwa vya mashabiki wa simba wanaijua wenyewe😀😀😀maana yanaweza kwenda na siraha na damu ikamwagika Tuwe makini na matamshi yetu
  2. hometown

    JamiiForums Tanzania Watanzania mngependa Paul Makonda Ateuliwe na Rais Samia Katika nafasi ipi ya uongozi katika serikali ijayo 2025-2030

    Abaki huko huko ccm yenu, mazingaombwe hatutaki
  3. hometown

    JamiiForums Tanzania Kero zilipaswa kutatuliwa na sekta husika, siyo mwenezi

    Sasa na sekta nazo zitamwachia makonda ili ccm izidi Kupata credit kwa wananchi wasiojielewa na kati ya watu mia walioitaki haki kuoitia mahakama, atapata mmoja alietangazwa na vyombo vya habari kupitia makonda Cjui nimeeleweka[emoji848]
  4. hometown

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Mpinzani akutetee kivipi wakati wewe mwenyewe autetei upinzani?! Yakija maandamano unaungana na wakatili wako, shida zikikufata unataka mpinzani akutetee, Hivi mtajifunza lini kutafuta haki zenu bila lawama?! Kibaya zaidi mnalalamikia chooni ambako uko peke yako nani atakusikia? Bahati mbayaa...
  5. hometown

    JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Kwa post yako inajionesha ujinga ulionao, hata kama ulisoma ni dhaili akili huna
  6. hometown

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Duh pole
  7. hometown

    JamiiForums Tanzania Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Huu muungano ni mfano halisi wa maisha ya mtanzania Maisha ya mtanzania hayaeleweki kuanzia siasa mpaka michezo Ni kizungumkuti tupu
  8. hometown

    JamiiForums Tanzania Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Mpaka hapo kwa mawazo yangu nadhani muungano ubaki tu kwa raia, kila nchi ijimiliki yenyewe, ila sisi raia tuwe free na undugu wetu, Zanzibar iwe na uhuru wake nasi Tanganyika tuwe na uhuru wetu Mali ya zanzibar iwe yao hata kama ni kijiko Vivyo hivyo nasi pia
  9. hometown

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Najiona kama vile nashawishika kununua magazeti Nakumbuka zamani nilikuwa mapita banda la magazeti makusanya karibia gazeti tano, alafu natamani nifike home nitulie nasoma moja. Baada ya moja Nilikuwa nainjoy kiukweli
  10. hometown

    JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    Aonje kama imekolea[emoji848][emoji3][emoji3]
  11. hometown

    JamiiForums Tanzania CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

    Chadema! Kam atakuja na moto huu huu wa kujitolea kwa ajiri ya wananchi chadema panamfaa Ila inabidi awe tayari kwa lolote lile Kutuknwa, kudhiakiwa, kufirisiwa, kuwindwa, Maana ukiwa chadema matajiri na mafisadi papa wote, na wajinga pamoja na wafitini watakuwa maadui zako Wengi wameondoka...
  12. hometown

    JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Kwa iyo hata jina langu la 2pak niachane nalo[emoji848]
  13. hometown

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wayahudi

    kuna uvumi unaenezwa dhidi ya Taifa la israel na watu wake,kwa nini isiwe wale wapalestina wasiwe wapalestina halisi ?iwe kwa israel?kuna njia nyingi zajengwa ili kuwachukia waisrael,
Back
Top Bottom