Recent content by holy spirit

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Okay sikusoma vzr nimeona kama PUTS 4.1 .... Hao non teaching staff sifahamu scale zao
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    4.9M basic ... hii ni level ya Senior Lecturers wanakuwa na benefits zingine pia kama transport, housing allowance
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    PUTS 2.1 ni 2,655,000 imepanda PUTS 3.1 ni 4,005,000 PUTS 4.1 ni 4,900,000
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

    Kulipa Kodi kihalali mara ngapi huku mishahara inakatwa kodi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

    Huu ni ukweli ila ukisema wanakwambia uchungu wa kukataliwa unakusumbua ukipona utaacha, japo ulichoandika hapa tunakiona live kabisa humu mitaani.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    Wachache niliowaona si ndo mfano kwamba inawezekana
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    Nimeona watu wa hivi wanapata kazi kwenye maeneo yenye maslahi mazuri na standards zao ndo zinawafanya wakapambanie kazi huko
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

    Wanawake wenye macho kama yai la mbuni, mayai ya mbuni yalivyo makubwa sasa hao ni wanawake au misukule
  9. H

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    Mtu kaweka standards zake makasiriko yameanza sio wote ni kama sisi tunaokubali kazi za laki
  10. H

    JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Umemkopesha mwanamke .... USIRUDIE TENA WAKO HIVYO HAWALIPAGI MADENI
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    PUTS 2.1 ni 2,563,000 before makato sasa sijui 2.3 ni shingapi
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kusoma

    😂 Nilisahau kidogo hilo janga linastahili pole kubwa. Pole Kwa ticha aisee
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal - Tutorial Assistance, nikapply kazi inaniambia 'Job Application failed because Your Profile is incomplete'

    Kwa vyuo vikuu wakuu sometimes kuna mtu yuko recommended. Ila msikate tamaa, try
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kusoma

    1 Kuna walimu wako international schools hawana maisha magumu 2 Kuna walimu ni academicians wa vyuo vikuu wana maisha standard tu. 3 Kuna taasisi za elimu pia zinalipa vizuri tu e.g. NECTA, TIE Hii ni baadhi ya mifano tu, kusoma Education sio kwamba taaluma yako haiwezi kukufaidisha kiuchumi ni...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

    Kwa issue ya Lissu bunge la ulaya limeupiga mwingi ila hiyo ya mashoga wamezingua
Back
Top Bottom