Recent content by Holota

  1. Holota

    JamiiForums Tanzania wale wa "passed and stored in databank" waziri kasikia kilio chenu labda jambo zuri linakuja

    mwenyekiti wa umoja wa vijana ACT Abduli nondo alitoa maoni yake na mtazamo wake kuhusu haya mambo ya data bank , uzuri waziri mwenye dhamana akaona na kutoa comment kama unavyo ona apo chini kwneye instagram ya Abdul nondo na labda wanaweza kulifanyia kazi tusubiri huo mrejesho
  2. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Accounting/Transport vs Banking/Finance

    soma bachelor of accounting and finance au bachelor of science in economics achana na hayo mambo ya NIT soma kitu kinachoeleweka
  3. Holota

    JamiiForums Tanzania HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    an andika email tuma veta au piga sim veta/ utumishi wanaweza kukujibu
  4. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu portifolio na interview ya serikalini

    sina ufahamu zaidi na kada za It ila kwa ujumla upende wa PSRS mara nyingi ufaulu wako ndo utakusaidia kupata kazi kuanzia wriiten, practical na oral interview wapo watu ambao kwenye account zao hawana work experience yeyote na wanaomba kazi na kuitwa kwenye usaili na pia kupata kazi
  5. Holota

    JamiiForums Tanzania Kuna anayefahamu kuhusu Mainland Group Agro Process Co. Ltd, mikataba yao na mchakato wa usaili ukoje?

    jau sana yule bib niliwahi kufanya kazi pale
  6. Holota

    JamiiForums Tanzania Kuna anayefahamu kuhusu Mainland Group Agro Process Co. Ltd, mikataba yao na mchakato wa usaili ukoje?

    kazi gani , kazi yeyote nenda kafanye ila kama ni ya warehouse usoende kufanya kimbia kuna bib mchina kule kila wiki anafukuza watu kazi nyingine nenda ila kama ni warehouse kule hutoboi
  7. Holota

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    mbona kweli mkuu vip umejuaje kama kuna pdf jingine
  8. Holota

    JamiiForums Tanzania Hii ni kazi kweli au mi ndo kazi?

    huo utapeli hilo tangazo ni fake wanataka tu utume hiyo ela utapelewe
  9. Holota

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    nimepata zile ajira za ualimu kujitolea za tamisemi kuna mtu anafanya iyo kazi vipi maslahi yake ushauri wenu wadau nisije kujichanganya niliona kuna uzi apa kwamba malipo yake ni madogo na hadi uje kupata pia ni usumbufu
  10. Holota

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kozi gan mkuu
  11. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    we jamaa tupe mrejesho wa interview yako what happened?
  12. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    acha ujuaji jamaa , ok sawa soma iyo job description kama utakuta hata swali moja na ukitoka kwenye usaili nadhani lazima utakuja kukumbuka ushauri wangu
  13. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    umeomba ushauri nimekupa ushauri mzuri nimefanya interview zaid ya 10 nature ya mtihani ndiyo hiyo ,ila unaoneka ni mtu ambaye hautaki kuamini unauliza maswali ya kijinga sana kwamba mtu wa mathe asome nini , sawa utakapotoka kwenye interview nadhani utakuja kuleta ushuhuda na kama umesoam law...
  14. Holota

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    tena hiyo kazia kabisa mambo ya probability, ratio, age problems kiufupi soma esabu
Back
Top Bottom