Recent content by Holiday

  1. H

    Napataje mawazo mazuri ya kuanzisha biashara? Kufikiria mwenyewe haitoshi kunipa wazo sahihi kwa asilimia 100.

    Naona idea unazo ila ni ile jinsi ya kuanza unaanzaje wakoloni wanaita starting point ndio inakusumbua hapo Tafuta mentor au mzoefu kwenye hiyo Biashara unayotaka Kufanya akupe ABC Kwa mfano hapo umesema unataka kufanya Biashara ya nafaka , Kuna dada Instagram anaitwa vale Nafaka ndio mambo...
  2. H

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Mimi nilikua natumia BD Net vpn free bando kwenye tigo .. nashangaa tangu jana imenigomea kabisa 😃 Hebu Jaribu wewe
  3. H

    Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

    Asante Sana . Mikopo ya watu binafsi hukuelezea inakuaje
  4. H

    Ushauri nataka kufanya biashara ya kukopesha

    Hello, ulifanikiwa kuanza hii Biashara ? Hebu tupe experience mchamchaka wake ukoje
  5. H

    Msaada wa mawazo na uzoefu kuhusu biashara ya kukopesha pesa (Microfinance)

    Hello, bado unaifanya hii Biashara ? Wanachuo unawakopesha wanalipa kwa utaratibu gani ?
  6. H

    House4Rent Vyumba Master vinapangishwa Karibu na Stakishari Polisi, DSM

    CHUMBA MASTER MPYAA - NJIA PANDA YA SEGEREA JIRANI NA STAKISHARI POLISI (A) Chumba Master Kubwaa Mpya - Kodi 100,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti. Umbali wa Kutembea Kwenda kituoni dk 10 Maji meter yako . Umeme Submeter Kupelekwa kuona 10,000. Ukilipia dalali malipo Mwezi mmoja. Sifa za...
  7. H

    House4Rent Chumba Master na Sebule kinapangishwa Tabata Kimanga

    Ni mpya ziko kwenye matengenezo ndio maana, Mafundi hapo bado wanafanya finishing
  8. H

    House4Rent Chumba Master na Sebule kinapangishwa Tabata Kimanga

    CHUMBA MASTER MPYAA 💥💥 PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE MPYA . LOCATION : TABATA KIMANGA. DSM (A) Chumba Master ya Kibachela Mpyaa -- Kodi 100,000 miezi 6 (B) Chumba Master na Sebule -- Kodi 150,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti Tabata Kimanga dakika 12 kutembea hadi stendi kuu...
  9. H

    Wosia wangu wa mwisho

    Shida ni nini ? Uchumi au ? Pole, badala ya Kutafuta namna ya kujiua kwanini usitafute namna ya kuchomoka kwenye hiyo Changamoto unayopitia ?
  10. H

    Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Mbona umesema nusu huo msemo tena umequote maneno negative umesahau Kuna "nyanya ninyanyue"
Back
Top Bottom