Recent content by Holehole

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

    Wazonzuri sana hii platforms ni muhimu ila wasiiopenda mawazo mawazo
  2. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

    Hata hili unashabikia duh
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia, TRA imekusanya kodi Tsh. Trilioni 120, kiwango kikubwa kuliko awamu zote kabla yake

    Hapo ndipo tunapaswa kutafakari je hii ni hali halisi tunayoiona mtaani au ni kujisifu tu Kwa makusanyo lakini mtaani hakuna kitu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Huyu demu wangu hapa home ananenepa ovyo ovyo nifanyaje kumdhibiti

    Muambie aache kula wanga Kwa asilimia 95 na aache kula aukari kabisa mpaka matunda yenye sujari asile
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

    Mh hii ya Tz ni sarakasi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hansrafael: Barua ya Simba Ina ukakasi soma hapa

    Lengo la simba ni kushusha mapato ya yanga nawaambia sumba watafika uwanjani
  7. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA

    Je hizo ndiyo sababu zake za MSINGI tunapaswa kuacha kuchagua Kwa mazoea tichague mtu au chama sahihi chenye uwezo wa kutatua matatizo ya MSINGI ya watanzania kama CCM au CHADEMA watatatua matatizo yetu twende na youote tuangalia uwezo wa mtu tunayemhitaji watanzania Kwa Sasa na sio Bora liende...
  8. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Tatizo la nchi hii watu wanachagua chama badala ya kuangalia mtu mwenye uwezo wa kumsemea matatizo yake na kushirikiana pamoja kuyatatua siku tukitoka hapo tu tuache kuchagua marafiki wasio na uwezo tichague viongozi bora
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Nchi hii Kwa uteuzi wa kila siku ni vyema tuondoe sahihi ya waziri
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Nadhani bi wazo zuri tupate vijana zaidi kama alivyoanza MWALIMU
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nautafuta muziki wa hamza Kalala toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma na baba Jeni byebye
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Sikiliza moyo wako wa ndani unakwambia Nini maana wengine ni washauri tu majibu sahihi yapo moyoni mwako
  13. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

    Nadhani uwezo wako wa kufikiri au kutathimini issues umepungua
Back
Top Bottom