Recent content by hoffman

  1. hoffman

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la mafuta limeishia wapi?

    Upo unaendelea vizuri kabisa.
  2. hoffman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Hongera sana kwa utumishi wake uliotukika.
  3. hoffman

    JamiiForums Tanzania Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Nilikuwa ninajua una akili kumbe ni zero
  4. hoffman

    JamiiForums Tanzania Kwani Tulifeli vipi kwenye Ubinafsishaji wa Awamu ya 2 hadi Tufaulu sasa kwenye PPP ya David Kafulila?

    Nimekaa pale kusikiliza mawazo ya namna PPP itavyotuvusha au kutufelisha.
  5. hoffman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuunganisha simu yako na kompyuta bila waya

    Hii ni nzuri
  6. hoffman

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Majitu Majinga majinga duani kama hili liloandika hayajawahi kuisha.
  7. hoffman

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Serikali ingetumia data base ya sensa kwa mtu kuja na ID anapiga kura. Sijaona maana ya kujiandikisha mara kitambulisho cha utaifa, cha kupiga kura, liseni, passport na vyote vya serikali ambavyo havina suluhisho kwa jambo lingine la serikali. Simply ni kuwasumbua raia na kuliingiza taifa...
  8. hoffman

    JamiiForums Tanzania Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

    R.I.P JPM, kweli ulikuwa Rais wangu mpendwa.
  9. hoffman

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    Hii itasaidia sana hasa malipo ya wakandarasi kucheleweshwa na kusababisha riba kubwa kwa taifa bila sababu za msingi.
  10. hoffman

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Sijamaliza kusoma yote, lakini you have my support
  11. hoffman

    JamiiForums Tanzania Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Urudi Bongo tu aisee, huruma sana.
  12. hoffman

    JamiiForums Tanzania Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders Mnaionaje?

    Ona jinga hili, umeambiwa ujenzi ulikwama 18 years back, limeng'ang'ana na Magufuli tu.
  13. hoffman

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Mfano ni toch inavyokumilka, chukua mpo watu wawili umbali wa mita 100 then toch imlenge mmoja, obviously mtu wa pili ambaye hajalengwa (pembeni) ataona mwanga hafifu (joto) tofauti na aliyemulikwa centre.
Back
Top Bottom