Recent content by Hoaxer

  1. H

    Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

    Mimi Kuna mtu alilipa bill yangu ya maji kupitia benki. Sikuhangaika naye maana alilipa hela ndefu ya miezi kadhaa mbele.
  2. H

    EWURA: Nchi ina Mafuta ya Kutosha

    Mbona hii kero ya foleni kwenye vituo umeanza Mara tu baada ya jamaa kuanza kazi? Halafu jamaa Ni msomi mzuri tu, mbona badala ya kutatua tatizo ndio kila mwezi linaongezeka?
  3. H

    Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Kama mtoto wa kiume una miaka 33 bado hujaoa, jitafakari. Kwa ma slay queen Kama umefikisha 34 hujaolewa, tafuta boda boda uzae nae halafu Anza uanaharakati wa u feminist. Ukiwa 34 hujaolewa ujue wanaume wanakuogopa.
  4. H

    EWURA: Nchi ina Mafuta ya Kutosha

    Sisi bodaboda tunataka tuyakute kwenye vituo. Kama yapo ya kutosha halafu Handeni na Tabora Kuna uhaba tutawaelewa kweli? Mara Kuna mtu kafa kwasababu ya ukosefu wa petroli, Leo hii mchana kweupe MTU anasema mafuta yapo ya kutosha, inahitaji degree ya kiwango Cha PhD ili kunuelewa.
  5. H

    Nimepitia Nicknames zote za Nchi za Afrika na Kuvutiwa zaidi na ya Tanzania

    Brain of Africa ameshindwa kuendesha bandari. Ameshindwa kabisa kusimamia ngorongoro haadi anaitoa kwa waarabu. Brain of Africa hajui mikataba yenye Mitego, brain gani kila wanachosema waarabu yeye Ni yes yes.
  6. H

    Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Mshana Jr Ni mbugu Tate Mkuu Ni mkilindi
  7. H

    6 Septemba 2023 hali ni Tete Wilaya ya Kyela

    Nimekubali. Wapinzani wapo ndani ya Baraza la mawaziri. Hili Baraza halina team work. Ni each for himself.
  8. H

    Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

    Una uhakika wa kukuta mabikra kibao, wewe kazi yako itakua moja tu. Kutoa hizo bikra zao huku ukinywa pombe tamu inayotiririka kwenye mitomito.
  9. H

    Vituo vingi vya Dar vimegoma kuuza Mafuta leo Septemba 5, 2023

    Ukosefu wa mafuta ndio mwanzo wa mwisho wa CCM.
  10. H

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Lucas mwashambwa Ni sawa na @mwijaku. Ubongo na mdomo havina connection. Mdomo uko na connection na matako.
  11. H

    EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Kuna haja gani ya kumjua MTU Kama huyu. Watu wanashinda kwenye foleni ya mafuta hapa Handeni, Tanga halafu MTU mwenye PhD anakutambia mafuta yapo ya kutosheleza zaidi ya nusumwezi. Sasa Kuna umuhimu gani wa kua na PhD. Kama watoto wadogo hata shule hawajaanza wanaona LIVE hakuna mafuta. Mwenye...
Back
Top Bottom