Recent content by hmjamii

  1. hmjamii

    UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    Siki zote Napenda niwafahamishe juu ya jambo hilo kama ifuatavyo:- 1. Miujiza yote ya Manabii au Mitume wanaokuwa wanahudumu kwa wakati uliopo mara nyingi kama sio mara zote hutangazwa na wale waliowaona na si Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu hutangaza miujiza ya wale Manabii au Mitume...
  2. hmjamii

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    ndio vyote hivyo vimewekwa na Mungu ili kumjaribu Mwanadam Sent using Jamii Forums mobile app
  3. hmjamii

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Kila kilichotokea ni Mpango wa Mungu na watu wengi hukosa uelewa kwa kudhani kuwa Shetani anashindana na Mungu kitu ambacho sio kweli. Shetani alimuomba Mungu afe mwisho ili awajaribu wanadamu na Mungu alimkubalia. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hmjamii

    Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

    1. Shetani aliumbwa na Mungu 2. Kifo kiliumbwa na Mungu 3. Uhai uliumbwa na Mungu Uwepo wa Shetani ni mpango wa Mungu ili atupime, Shetani mwenyewe anajua na anamheshimu Mungu na Kumuogopa na watu huwa wanachanganya na kutokuelewa kuwa Shetani hashindani na Mungu bali yupo kumjaribu binadamu na...
  5. hmjamii

    Shuhuda: Dereva wa Kigwangalla anastahili kuitwa shujaa maana kama angemgonga yule twiga basi asingepona mtu

    Barabara inaonyesha kabisa kuwa eneo hili wanavuka wanyama wao wanapita KWA MWENDO KASI, bora tunyamaze tu.
  6. hmjamii

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kama ikitokea mtu au watu hawakufikiwa wala kuijua dini kabisa hasa wale waliokuwepo kabla ya Manabii watahukumiwa kulingana na sheria na tamaduni za eneo alilopo. N.B. kwa zama hizi sidhani kama kuna mahala dini haijafika
  7. hmjamii

    Kama unajijua hauko vizuri Kichwani usipende sana kuvalia Suti kwani unaidhalilisha

    Hayo ni Moja kati ya mapungufu ya mwanadamu, Mungu ameclick kitufe wamepoteana, wameona waombe radhi kupunguza pressure ya baadae
  8. hmjamii

    Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, awasikiliza Maaskofu, au awapuuze na kusimama na Mungu wake?

    Ndugu yangu! Wewe sasa ndio unaleta siasa, huwezi kutofautisha Dini na siasa hata Mara moja, kwa maneno yako unajaribu kusema ukiwa kwenye siasa au uongozi usiwe na Mungu.
  9. hmjamii

    Tatizo la mafua ya yasio isha

    Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa?
  10. hmjamii

    Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Jambo au mambo ya dini huzungumzwa kwa kunukuu aya au hadithi kwa waislam, sio unakuja na mawazo yako.
  11. hmjamii

    Msaada: Maumivu ya kichomi upande wa ziwa la kulia

    Nenda ukapime Madonda ya tumbo, kayapime kwenye damu na choo then ukipata majibu nenda hospital ukamsikilize doctor
  12. hmjamii

    Waziri mwenye dhamana tunaomba utusaidie kuhusu umeme

    Hapa nilipo hakuna umeme tokea asubuhi mpaka sasa, Kuna mtu nilimuona kama kavaa koti na kadeti ya kijani na sefti buti nyeusi akisema KUTAKUWA NA MGAO MKALI SANA. Sijui alikuwa anamaana gani.
  13. hmjamii

    Kesi muhimu DPP anaamua kuzifuta na kutokuendelea nazo, lipo tatizo kubwa mahali

    Kwa mfano sasa kama Manji aliandika kuwa mashahidi wake ni Mwamnyange, Hussein Mwinyi au jk!!!!!! Unadhani wanaweza kuitwa kutoa ushahidi?????
  14. hmjamii

    Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

    Usipende kusemasema haya maneno, Maneno hayo ni ya kweli kabisa na ni kama ndoto, hutakiwi kumwambia kila mtu, penda kumwambia Mungu wako, Mama yako na Mume wako kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hmjamii

    Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

    Namuomba Mungu akufanyie wepesi na akujaalie ndoto zako zitimie. Mshirikishe sana Mungu katika kupata Mume bora, ili ufanikishe hayo unahitaji Mume bora. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom