Mimi tangu nianze kutumia sijawahi kuacha maana haya madawa mengine naona ni kama matapeli,nafikiri watu hawajagundua ubora wa hii dawa, siku wakigundua ndio mwisho wa magonjwa ya meno, kuna rafiki yangu doctor ndiye alinishauri nitumie hii dawa.
Mimi meno kama matano yalikuwa yanauma pamoja na kichwa lakini tangu nianze kutumia hii dawa sijawahi kupata maumivu tena na nishasahau maumivu ya meno.
Nakufatilia mkuu, shule yako imetulia sana na kama jamaa haelewi ana lake jambo. kiufupi wanga unaohitajika na mwili unapatikana ktk makundi mengine ya chakula. Na mwili hauhitaji wanga kwa kula wanga kama tunavyofanya Ila kutoka kwa makundi mengine. Mimi mwenyewe sijala vyakula vya wanga kwa...
Ni kitabu Bora kabisa kwenye maswala ya chakula mama yangu alikuwa na sukari 17 now inasoma nane. Mimi mwenyewe sukari ilikuwa nane 8 kwa sasa inasoma 4-5 . Nina afya ya kutosha. Naakuomba usitumie dawa yoyote ni hatari kwa afya yako, asilimia 85 huwa ni ulaji mbaya tu. Nakiomba tena kama upo...
Kuna kitabu cha dkt mmoja kinaitwa sayansi ya mapishi cha boazmkumbo kinauzwa 20,000 . Mimi kimenisaidia nilikuwa na kilo 82 kwa sasa Nina kila 65 . Tatizo ni ulaji tu na tuna elimu ya uongo kuhusiana na ulaji.
Nyama haina madhara na haijawahi kuwa na madhara, hiyo ni mitazamo tu ya watu na watu wanaojifanya wanajua lishe kiujanja. Mashirika ya chakula yote duniani wanashauri ule nyama na ni muhimu sana kwa mwili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.