Recent content by HLS

  1. HLS

    JamiiForums Tanzania Peremende zenye bangi zauzwa mitaani

    Hapa kazi ipo, yaani hao jamaa wanataka kuuwa kizazin kijacho. Lakini utaona GTZ itakavyokawia ku react.
  2. HLS

    JamiiForums Tanzania Zuku wamenizingua

    Jaribu hii 0768 984200
  3. HLS

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    Sio kweli, mleta uzi amepokea maneno ambayo hana uhakika nayo...technical staff wanakagua nyufa za floor tiles ndio wakawaambia other staff waondoke.
  4. HLS

    JamiiForums Tanzania mgawo wa umeme umeanza?

    Hata mimi namaswahibu km ya kwako
  5. HLS

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mfanyakazi wa Umma Chini CCM wanavyomaliza siku na week yao

    Nadhani nchi zote zilizoendelea, maslahi hayakutangulia uwajibikaji...
  6. HLS

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mfanyakazi wa Umma Chini CCM wanavyomaliza siku na week yao

    Mkuu umenena, Du! safari ni ndefu sana.
  7. HLS

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi

    kama wasifu wa nje ni poa, usikwepe ukweli.
  8. HLS

    JamiiForums Tanzania picha ya siku

    Kazi ipo
  9. HLS

    JamiiForums Tanzania Kusoma elimu hakuna mzee wala kijana wote tunatakiwa tusome jamani

    Huyo bibi anasinzia tu hapo
  10. HLS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta Man of the Match achemka kutema Ung'eng'e

    kujitambua kama huku ndio kutamfanya dogo afike mbali. Big up Mbwana
  11. HLS

    JamiiForums Tanzania Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

    Mungu ametoa, Mungu ametwaa. Amina
  12. HLS

    JamiiForums Tanzania Fox Entertainment: 24 hrs kuja kivingine sasa, it sites 24hrs 'Live another Day'

    Du! naifia sana, hadi nikarejista jf km homeland security. I cant wait....oops.
  13. HLS

    JamiiForums Tanzania Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

    Wananchi tunalalamika kila sehemu, sijui ufumbuzi ni nini? Nabaki hoi, mbaya zaidi mambo haya hayajaanza leo.
  14. HLS

    JamiiForums Tanzania Muundo huu wa Muungano utatuumiza sisi Wazanzibar!

    Bobwe kama ndio hivyo kuwa muwazi tu, sema wazanzibari hatutaki muungano. Mwanzo mlisema hivi leo vile kesho itakuwa nini......
Back
Top Bottom