Ni habari nzuri kuskia kwamba wamepatikana. lakini ninasikitika kwamba hadi sasa hivi March 2022 niko ofisi moja arusha na mama wa huyo binti na binti hajawasiliana na mzazi wake bado, ushauri wenye tija tafadhali kwa ajili ya kumsaidia huyu mama angalau apate kuwasiliana na binti yake. Grace...
Nadhani Kitale ameakisi tu jamii zinazoishi maisha ya hivyo na haina maana kuwa yeye au washiriki wa tamthilia hiyo hawaamini uwepo wa Mungu, kazi ya sanaa ni kuburudisha au kuelimisha jamii, katika hii amefanikiwa kuiburudisha jamii ikiwemo wewe uliyefanikiwa kuiona tamthilia yote. Imani...
Frank bado hajulikani alipo, waliopotelewa na ndugu zao watakuwa wanajua hisia hizi kwamba utamtafuta ndugu yako hadi siku utajua chochote kumhusu, liwe baya au zuri.
Mimi nilifikiri rais kupitia ccm automatic anakuwa mwenyekiti wa ccm kumbe hali ni tofauti?? Anyways anayehutubia bunge ni rais wa nchi na siyo mwenyekiti wa chama.
H
Hujanielewa, ninafahamu kuwa kifo ni kazi ya Mungu, hoja yangu ni usemi wa "sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi" kwangu mimi huu usemi hauna maana kwa sababu.....
Kama wote wanaokufa ni kweli kuwa Mungu anawapenda basi pasingekuwa na mtu/kiumbe wa motoni.
Hii kauli ya sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi inabidi muache kuitumia maana haina maana hata kidogo.
Fikiria: wote waliokufa hakuna mtu wa motoni kwa kuwa Mungu amewapenda zaidi? Tafakari.
Hivyo viatu mmevipendea nini? Kama ni maendeleo ulikuwa ni wajibu wake kwa kutumia kodi zetu na hakuwa akitumia pesa zake za mshahara.
Tanzania inataka Haki, uhuru wa watu na vyombo vya habari, demokrasia huru, upendo na siyo chuki kwa wenye nacho. Sasa vile viatu vya kazi gani maana havikuwa...
Ukiskia hoja zisizo na mashiko ndo hizi sasa, kwamba hati ya kusafiria unapewa kisha unaitumia only once (kwa sababu ulizowapa) then ukirudi unawarudishia? Aaaargh!
Haya tuseme nimewaambia naenda kutembea tu, mtakuwa huko ninakoenda kuthibitisha kuwa safari yangu ilikuwa ya matembezi peke yake...
Kwanza kabisa acha uongo kusema wamemuunga mkono, kisha ujue kama Australia wameipitisha na wanaitumia basi tulia, "AstraZeneca" itatumika ulaya yote wakimaliza uchunguzi wao wa kisiasa, na kwa taarifa yako hakuna nchi ya africa yenye uwezo wa kuikataa chanjo wenye dunia yao wakiamua. Turudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.