Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
- Thread starter
- #21
Wawaachie wajuzi.Movie mbona nzuri tu, kuandaa series sio jambo dogo ujue

Yaani we acha tu.Nafikiri hao MANENO YA KUAMBIWA wana afadhali. Kuna wajinga flani wanaonesha Starswahili kila siku kuanzia saa3 usiku(ni wahindi) wanakera sana kuwaangalia
Movie zao zote kuanzia MANUU, RAZIA hadi ya sasa GANGAA wanakera sana kuwaangalia
sanaaaa ndo yupo la 2Ni mpenzi wa hiyo movie??.
Kuna movie ya kibongo iitwayo MANENO YA KUAMBIWA ambayo inaonyesha mtunzi wake ni Kitale, ina kasoro kibao. Kasoro kubwa ni kupotosha na kudumaza akili za watu weusi kuwa kila tatizo linaweza kutatuliwa na mganga wa kienyeji, katika mtiririko wake unaonyesha kuwa watu mbalimbali wakipatwa na matatizo kisha wakamwendea mganga wa kienyeji shida zao hutatuliwa na hakuna panapoonyesha kuwa mganga aliwahi kushindwa, kitu ambacho sio sahihi. Ajabu ya mwaka movie hii haimpi Mungu nafasi inayotakiwa.
Madhara ya mtizamo huo wa mtunzi ni kudumaza watu weusi akili kudhani Waganga wa kienyeji ndio suluhu ya matatizo katika jamii. Aidha kudhoofisha imani za watu kwa Mungu wa kweli, Mungu aishiye milele.
Madhaifu mengine ni mambo yasiyo na uhalisia kama vile mtu kufungiwa kwenye sanduku na kisha kufukiwa kwenye shimo, halafu akiwa shimoni eti anaongea na simu na anabaki hai kwa siku kadhaa, huu ni uongo wa kiwango cha changalawe.
Sio hivyo tu, uongo mwingine ni huu; Eti mtu anakufa kwa kuchukuliwa msukule halafu akirudishwa anaendelea kuwa na akili zake kama mwanzo na kufanya tabia zile za mwanzo kama uzinzi n.k. Huu nao ni uongo kiwango cha lami, kwasababu mtu akiondoshwa kwa mtindo huo hata akirudishwa, Network lazima iwe ina search muda wote.
Uongo mwingine ungozeeni wenzangu mliokwisha kuangalia movie hiyo.
Nadhani Kitale ameakisi tu jamii zinazoishi maisha ya hivyo na haina maana kuwa yeye au washiriki wa tamthilia hiyo hawaamini uwepo wa Mungu, kazi ya sanaa ni kuburudisha au kuelimisha jamii, katika hii amefanikiwa kuiburudisha jamii ikiwemo wewe uliyefanikiwa kuiona tamthilia yote. Imani iliyojengewa misingi imara haidhoofiki kwa kuangalia tamthilia.Kuna movie ya kibongo iitwayo MANENO YA KUAMBIWA ambayo inaonyesha mtunzi wake ni Kitale, ina kasoro kibao. Kasoro kubwa ni kupotosha na kudumaza akili za watu weusi kuwa kila tatizo linaweza kutatuliwa na mganga wa kienyeji, katika mtiririko wake unaonyesha kuwa watu mbalimbali wakipatwa na matatizo kisha wakamwendea mganga wa kienyeji shida zao hutatuliwa na hakuna panapoonyesha kuwa mganga aliwahi kushindwa, kitu ambacho sio sahihi. Ajabu ya mwaka movie hii haimpi Mungu nafasi inayotakiwa.
Madhara ya mtizamo huo wa mtunzi ni kudumaza watu weusi akili kudhani Waganga wa kienyeji ndio suluhu ya matatizo katika jamii. Aidha kudhoofisha imani za watu kwa Mungu wa kweli, Mungu aishiye milele.
Madhaifu mengine ni mambo yasiyo na uhalisia kama vile mtu kufungiwa kwenye sanduku na kisha kufukiwa kwenye shimo, halafu akiwa shimoni eti anaongea na simu na anabaki hai kwa siku kadhaa, huu ni uongo wa kiwango cha changalawe.
Sio hivyo tu, uongo mwingine ni huu; Eti mtu anakufa kwa kuchukuliwa msukule halafu akirudishwa anaendelea kuwa na akili zake kama mwanzo na kufanya tabia zile za mwanzo kama uzinzi n.k. Huu nao ni uongo kiwango cha lami, kwasababu mtu akiondoshwa kwa mtindo huo hata akirudishwa, Network lazima iwe ina search muda wote.
Uongo mwingine ungozeeni wenzangu mliokwisha kuangalia movie hiyo.
Labda tu hupendi vya kibongo bongo ila wakenya nao wako vibaya kishenz series zao. Nishaotea mara kadhaa hizo za kibongo za DSTV sanajitahidi kiukweli sema tu ni ile wabongo tunapenda kutafuta kasoro hata kama hazipo.huba
slay queen
karma
nyavu
madhubala
ni utopolo
maneno ya kuambiwa ni uto
njoro wa uba
nganya
trhk the best kwangu from kenya
Sasa kwa nini unaangalia na wewe zinakukera? Tena unaangalia na unazijua majina yake na stori zake!!!Nafikiri hao MANENO YA KUAMBIWA wana afadhali. Kuna wajinga flani wanaonesha Starswahili kila siku kuanzia saa3 usiku(ni wahindi) wanakera sana kuwaangalia
Movie zao zote kuanzia MANUU, RAZIA hadi ya sasa GANGAA wanakera sana kuwaangalia
Yote kwa yote kitale alijitahidi sana SALUTE KWAKE,Now Twendeni you tube tukamsuport kwa kuangalia series yake mpya ya BINADAMUKuna movie ya kibongo iitwayo MANENO YA KUAMBIWA ambayo inaonyesha mtunzi wake ni Kitale, ina kasoro kibao. Kasoro kubwa ni kupotosha na kudumaza akili za watu weusi kuwa kila tatizo linaweza kutatuliwa na mganga wa kienyeji, katika mtiririko wake unaonyesha kuwa watu mbalimbali wakipatwa na matatizo kisha wakamwendea mganga wa kienyeji shida zao hutatuliwa na hakuna panapoonyesha kuwa mganga aliwahi kushindwa, kitu ambacho sio sahihi. Ajabu ya mwaka movie hii haimpi Mungu nafasi inayotakiwa.