Recent content by hito

  1. H

    Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

    Nililiona moja rujewa nikajiuliza imekuja kufanyaje huku
  2. H

    Michango ya ujenzi wa madarasa imekuwa kero Kata ya Ubaruku, Rais Samia tusaidie

    Sasa Kama hawa nao hawajui majukumu yao na Kama wao ndio wanao watuma
  3. H

    Michango ya ujenzi wa madarasa imekuwa kero Kata ya Ubaruku, Rais Samia tusaidie

    Kwanza nikupongeze kwa mwaka mmoja wa kuwa madarakani binafsi naona Mambo yamenyoka kidogo tofauti na Serikali ya Awamu ya Tano ambapo Uhuru wa kujieleza ulibanwa kweli kweli. Naomba niende kwenye keep yangu. Mh Rais sisi wakazi wa wilaya ya Mbarali kata ya Ubaruku mkoani Mbeya tunaomba...
  4. H

    Maneno mazito: Mimi Mbowe nimebarikiwa hivi nilivyo sihitaji baraka ya cheo wala fedha, Siasa kwangu ni WITO wa kuihudumia jamii

    Swadakta mkuu angali kaburu walidi,kafulila,machali Kaka yao zito hamna kitu kule
  5. H

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Anaijua ata hiyo law school Basi matanga wengi ni vichwa maji
  6. H

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Punguwani mkubwa wewe ata akili huna walikuwepo wenzako lakini walisha kimbia najua na wewe utatoka tu ni kazi sana kutetea uongo
  7. H

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

    Pingamizi limetupiliwa mbali mbona jaji wa kimkakati huyo mbowe watamfunga tu Hilo halina ubishi hata sisi tusio jua Sheria tunaona kuwa jaji yupo upande wa serikali kuwagurahisha mabosi zake alambe cheo nae hela tamu du
  8. H

    Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

    Ukweli ni kwamba ukiendekeza ngono zembe uwezekano wa kupata ngoma ni mkubwa nimeshuhudia watu wa kalibu yangu walio kuwa wananifanyia wao asipite demu mkali lazima wawe nae wote hawapo duniani Tena baba zangu wadogo wawili jilani watu ni wengi Bora tutulie tu tuwaheshimu wake zetu tuache...
  9. H

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Ni Bora Mara Mia kila mtu akala anavyo jua yeye kuliko mnajifanya amani huku wachache wakineemeka wengi wanaumia pumbavu kabisa
  10. H

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Ila ccm Ina vijana wa hovyo sana Kama ndio mnatumwa kuja huku mtandaoni jengeni hoja sio kupayuka payuka tu Kama wehu kumbukeni hata gadafi aliamini Libya ni yake hakuna Kama yeye lakini kilicho Baki ni story bado nyie so mnatuona watnzania mazuzu time will tell
  11. H

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
  12. H

    Ujenzi wa Daraja la Magufuli wahujumiwa, CCM wacharuka

    Hivi we jamaa nazani hauko timamu kabisa sijawahi comment hoja yako ata siku moja huwa nakupuuza maana naona akili zako hazipo sawa Sasa chadema wanamhujumu VIP mama
  13. H

    Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Da mwanavala nakufahamu kule kwa mzee sepelua nilienda miaka ya 1997 mzee alikuwa analima mpunga kule na hiyo shule jamii kubwa ni wamasai
Back
Top Bottom