Recent content by History-Victory

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

    Duh basi mkuu,mtunzie siri yake.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

    Mi nadhani alifuata Jina ila hakujua kuna gaharama yake..alipoanza kuilipa ndo ameona uchungu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

    Duh..huyu jamaa unamjua? Kabisa au ni mambo ya jf mkuu?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

    Japo chai..ila kama kweli basi wewe ni zuzu kupoteza muda wako kufuatilia upumbavu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kani siku hizi bado watu wanalipia mkononi? Yaani wanampa hela trafki? Hebu fafanua hapo
  6. H

    JamiiForums Tanzania Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Hakuna atakayeondolewa hilo jambo lina baraka zote kutoka ikulu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanaona aibu kununua Condom dukani/pharmacy au kwanini watu wengi huogopa kuingia lodge/guest house kuulizia vyumba?

    Aah sio kwangu mi nikifika tena nikikuta watu ndo napenda nasema kwa sauti kubwa.."KIONGOZI NIPE DUME/SALAMA" itategemea na mfuko wangu na sinaga noma
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

    Bwana muhimu kukojolea pazuri[emoji16][emoji16]
  9. H

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Mchezaji mzuri japo body yake kidogo inamkataa ila apewe nafasi ili tuachane na yule chizi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Ewaaa sasa kocha siku nyingine awe na akilk hizo ndo sub sasa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Kocha fala sana Sakho katoka unamuweka mzamiru wakati Tuna Kanoute na Mkude
  12. H

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Ile Sub ya Mzamiru ya hovyo sana sijui ya nini...kocha hamna hapa
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

    Tatizo mademu wasiokua na mambo mengi na watiifu,,huwa wa ajabu ajabu machoni mwetu hawatuvutii hapo sasa ndo tunaingiaga mkenge.
Back
Top Bottom