Recent content by Hisia23

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi katika Miji ya wenzetu kwenye makazi ya watu nyumba za ibada imefunga loudspeaker kwa nje?

    Uhuru wa kuabudu... Badilisheni katiba/kipengele basi
  2. H

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Kama unashindwa kumtaja tukamfahamu. Unamaana gani kututahadharisha kwa mtu ambae hatumjui??!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    Kwani alikuwa anakwenda sasa au tayari kipindi kilishafanyika! Just ilitakiwa kurushwa hewani tu na sio live kama sikosei.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Please: Nipo nje ya nchi

    Basi tugawane na mapato maana inawezekana umepata kazi ya kucheza na watoto wa kizungu. Au unafanya research ya child care!? Kuwa muwazi mkuu tukusaidie
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wakali wa hesabu na chemsha bongo

    Kwa kawaida pipa lina ujazo wa 200lts İkiwa inlet 2hrs inajaza 200lts, outlet 3hrs, outlet kwa muda wa 2hrs itakuwa imetoa 133.3lts Kwa hivyo in 2hrs zitabak ~66.7lts 2hrs...... 66.7lts x......... 200lts = 5.99 ~ 6hrs
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Kila mtu utaskia Watanzania tuko hivi mwengine tuko vile, wengine sijui hatujiamini, kila mtu analaumu Watanzania kwa kutokuchukua hatua. Mtanzania ni mimi na wewe hebu tuanze then tuone na sio kusema juu juu tu. Swali ni "tunalianzisha vipi"
Back
Top Bottom