Recent content by Hishakiye1974

  1. H

    Urusi na China Kujenga kambi ya kudumu ya Kijeshi nchini Cuba

    Kila kitu isipokuwa uhai, kinawezekana kikipangiliwa vizuri. Lkn kwa hili Sina uhakika. Binafsi , nadhani, anguko la uchumi wa nchi nyingi miaka michache ijayo kwa jibu la BRICS, litabadili mifumo mingi na mitazamo mingi. Huenda pia likapelekea nchi nyingi kuzaliwa Toka mataifa makubwa.
  2. H

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Unadhan kabla hujazaliwa, ulikuwa wapi
  3. H

    Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Naomben kuuliza, je tatizo Nini Hadi mifumo igongane? Hakuna Sheria ziongozazo kiongozi akienda tofauti na uhalisia aelekezwe vipi ili arudi katika uhalisia?
  4. H

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Ni Nani aliyefanya biblia mnazotaja zionekane kkatika mpangilio Huo?
  5. H

    Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Niliwahi andika jumu,swala hili huenda likapepekea mipaka yote ya biblia kuhusu Canaan kurudia.
  6. H

    David Kafulila: Wanawake wana mafanikio karibu mara 10 zaidi kwenye taasisi wanazoziongoza

    Katika ulimwengu wa mafanikio,hapaangaliwi rangi,elimu wala dini,Bali ni jinsi gani unapanga na kufuata njia ya maendeleo. Nadhani anachojaribu kuongea ni kuonekana katika ulimwengu wa ajira.
  7. H

    Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?

    Paskali,binadamu anapitia mabadiliko mengi. Hapatatokea usawa hata siku moja Bali ubadilushaji wa kazi Kwa mda Fulani,mfano kumiliki Mali/kazi ama kutomiliki. Sijui kama watu wanafikiri haki ya mama kumiliki mtoto/ ukoo ili kumdhurum Baba mbegu aliyotoa ili kupata mtoto huyo. Naona hata...
  8. H

    NATO hii inayotumia bajaji ndio yakupigana na Russia

    Nachoamini,Kwa uwezo wa vifaa na technology NATO wapo zaidi ya mchanganyiko wa Russia,China na N.Korea.
  9. H

    US kufukuzwa UN ili amani ya dunia ipatikane

    Binafsi naamini Netanyahu alijua anachisema ,aliposema hakuna wa kumzuia kuimaliza Hamas
  10. H

    Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari

    Hilo ni Jambo la kawaida Kwa ubunifu. Rezvan tank ni gari Bora lenye thamani kubwa Zaid ya$300k na limebuniwa na mmarekani mwenye asili ya Iran.
  11. H

    Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

    Yawezakuwa anajua ama hajui madhara yake. Inanikumbusha miaka ya nyuma baadhi ya watu walipohoji uhalali wa kuchinja wanyama Kwa chakula,ni Kwa nini iwe dini moja. Nadhani lilitokea Mwanza na kupelekea uharibifu Buseresere/katoro. Kulilazimika kutumika hekima kubwa ili kurudisha jamii katika...
  12. H

    Houthi wa Yemen waitumbukiza Misri katika ukata wa mapato ya bandari.

    Binafsi nadhani, Red see itakuwa salama pale Houthi watakapoamua kuacha ama maeneo ya kijeshi yote ya Houthi yatakapoharibiwa ndani ya Yemen
  13. H

    Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

    Nadhani vita hii itatanua sana mipaka ya Israel Kwa kurejerea mipaka halisi ya Canan kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha hesabu 34 kwenye biblia Kwa waiaminio.
Back
Top Bottom