Recent content by Himawari

  1. Himawari

    JamiiForums Tanzania Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Na Profesa anazaa mtoto mmoja au wawili!
  2. Himawari

    JamiiForums Tanzania Kitengule Hospital wamemhudumia mgonjwa, kisha wakakataa kumuandikia dawa kisa hana pesa

    Bima ya afya ndío muarobaini wa hili tatizo!!
  3. Himawari

    JamiiForums Tanzania Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

    Serikali inajichanganya katika hili! Ukifuatilia sababu za bei ya mafuta kupanda mojawapo ni mabadiliko ya sera za Kodi..!! Haya mabadiliko vyovyote iwavyo vile yatamwathiri mlaji wa mwisho!!
  4. Himawari

    JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

    Bali vinafanyiwa kazi.
  5. Himawari

    JamiiForums Tanzania Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

    Nakumbika enzi hizoo nlikuwa sekondari, nankipindi pendwa scha ucheshi kilikuwa ni Fresh Prince of Bel Air!!
  6. Himawari

    JamiiForums Tanzania Kwaresma wakati wa kufungua hakuna mambo ya Futari wala Daku, unakula chakula cha kawaida tu!

    Kwenda mbinguni au motoni ni chaguo la mtu binafsi!![emoji849]
  7. Himawari

    JamiiForums Tanzania Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Wakawaida sana hao, Ila na wewe unaowajibu wa kuzingatia sheria za barabarani, vinginevyo ujiandae kwa fine na vijisent vya kuhonga!!
  8. Himawari

    JamiiForums Tanzania Ngono ni ibada na madhabahu

    Kumbe neno SOULMATE ilianzia hapa?!
  9. Himawari

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Hili la majigambo hâta mie nliona kitambo tu, na lilikuwa linanishangaza sana!!
  10. Himawari

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    The Man himself!!
  11. Himawari

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

    Hayo maelezo ndio mchakato mzima wa kuchakata mafuta ya mbegumbegu, nyongeza ni kuwa huwa yanachemshwa ku-inactivate enzymes na kufanyiwa deodorization kuondoa harufu mbaya!!
  12. Himawari

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

    Hiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
  13. Himawari

    JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wakija kwangu wanafanya maamuzi ya nini kifanyike!

    Pole sana. Mtoto kwa mama hakui, ila nakushauri punguza mazoea, ukaribu uliopitiliza na Mama yako. Imeandikwa mtu atamuacha baba na Mama yake.... (Acha kufuatana na wazazi wako kila wakati, wakutembelee na waondoke kama wageni wengine..) Chumba chako funga na jaribu kumueleza Mama yako mipaka...
  14. Himawari

    JamiiForums Tanzania Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

    Kwa unapozima data huwa inakuwaje?!
  15. Himawari

    JamiiForums Tanzania HAKAINDE HICHILEMA: Nikosoweni ninapokosea ikiwezekana muandamane ni haki yenu

    Zambia gharama za bundle zikoje kwani?![emoji849]
Back
Top Bottom