Recent content by hillongajonas

  1. hillongajonas

    Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

    Wewe utakufa siku si nyingi endelea na mapressure yako alafu wahuni wajipigie kiulani
  2. hillongajonas

    Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

    Humu mbona sielewi mkuu maana mlengwa ni wewe.Hebu nipe a b c jamaangu
  3. hillongajonas

    Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

    😂😂😂 Eti unamkunjua goti hukutuambia aise dah nmecheka wallah
  4. hillongajonas

    Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

    Duuh!haya mapenzi jamani hadi mdomo nusu
  5. hillongajonas

    Muuza Madafu: Mimi siyo Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda ninayefananishwa naye

    Katika kuchambua tu maneno ya jamaa na ukimuangalia vizuri waswahili wamesha muelewa
  6. hillongajonas

    Nyumba inatakiwa kuwa na moto, pakipoa inaboa!

    Aise! kweli watu tumetofautiana sana mimi nikikutana na mwanamke mwenye kashikashi kama hizo naweza kufa napenda sana tena zaidi ya sana utulivu
  7. hillongajonas

    Mtu anapomtukana mwenzake anafaidi nini?

    Watu wa aina hiyo mi huwa sishindani nao maana mdomo wangu si wakutoa maneno machafu.
  8. hillongajonas

    Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

    Mwaka huu uchaguzi upo wa serikali za mitaa
  9. hillongajonas

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Hadi hapa nilipofikia namshukuru sana Allah ilikuwa ni hatari kabla ya mwezi Ramadan
  10. hillongajonas

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    115 nashukuru huu mwezi mtukufu umenifanya nipungue uzito
  11. hillongajonas

    Nashindwa kumsamehe huyu mpenzi wangu

    Huyo ma mkwe siyo pasua kichwa tu, ni kichomi kabisa.Ameshakuulia mtoto bado unaremba remba jichanganye oa huyo binti yake utacheka kama chizi aliyeona jalala jipya.
  12. hillongajonas

    Wakuu tatizo langu la meno liko complicated nataka ushauri wenu

    [emoji23][emoji23][emoji23] mbona mgonjwa mkali hivi?
Back
Top Bottom