Lakini kabla ya kupata huo ujasiri, naombeni mnishauri wadau, katika nyumba niliyopanga, kuna mama mmoja nakaa nae, ana watoto japo wote wako shule, mme wake alifariki 2008, so huyo mama ni single mum, nimekua nikiishi nae fair siku zote lakini uzalendo umemshinda mwenzangu.
Ana kila dalili za...