Ana kila dalili za kunitaka kimapenzi

Ana kila dalili za kunitaka kimapenzi

Ila tu kama mume wake amefariki na kama unamtaka huyo mjane ni bora mkatest HIV maana ni hatari kwa afya yako. Pia kufanya mapenzi na mtu mzima hakuna madhara ila heshima ni kitu cha msingi kama analingana na maza yako why unataka kufanya ngono, kama kweli umempenda fanya hima mtolee mahari uoe kabisa ule kiazi mbatata kwa uhuru Mwisho angalia asikubembende
 
Sema mwanangu utakuwa hulipi kodi,msosi utakuwa unawekewa hata ukichelewa kurudi,maji ya uvuguvugu utayakuta bafuni sasa we una hasara gani tena!
 
Lakini kabla ya kupata huo ujasiri, naombeni mnishauri wadau, katika nyumba niliyopanga, kuna mama mmoja nakaa nae, ana watoto japo wote wako shule, mme wake alifariki 2008, so huyo mama ni single mum, nimekua nikiishi nae fair siku zote lakini uzalendo umemshinda mwenzangu.

Ana kila dalili za kunitaka kimapenzi, sijui ni kutokana na upweke alio nao siku nyingi kuishi bila mwanamme, najua nae pia ni binadamu, mungu akuweka mapenzi sio tu kwa ajil ya kuzaana lakini pia kwa ajili ya kuenjoy na kupeana raha.

So ni huruma kwake kuishi bila kuwa na faraja kwake. Nimejitahidi kuepuka kuwa nae karibu kwa vile nimekua na ideology kuwa ye ni mtu mzima kwangu, lakini ni wapi kunazungumzia umri kuwa ni kikwazo cha kimapenzi, eti nitamkosea heshima, nani kasema kufanya mapenzi ni kitendo kichafu, go to hell this ideology, this weekend am going to ---- u madame

we huogopi hapo?
 
Haina haja kutujulisha ati wkend hi utaenda ku......akili yako iko sawa na huyo alie m baka ajuza wa miaka 80 go hell enjoy na devil
 
Wewe ndo una kila dalili ya kumtaka. Yeye anakuchukulia kama mwanaye na wewe unamchukulia kama mpenzi. Anyway fanya fanya ujenge uhame.
 
Wewe ujielewi sasa watoa taarifa au mxeeee waona sifaaaaa mwisho wasiku waja hapa na lijiuzi lako nguvu za kiume zimepungua kumbe nikwaajili ya kutembea na mimama yenye umri sawa na bibi yako and your in hell already mxeeeeeuuuuuuii!
Wote mmecomment mnayoyawaza lkn bado cjaona sabab ya msing ya mie kutofanya jambo hilo.
 
Wewe ujielewi sasa watoa taarifa au mxeeee waona sifaaaaa mwisho wasiku waja hapa na lijiuzi lako nguvu za kiume zimepungua kumbe nikwaajili ya kutembea na mimama yenye umri sawa na bibi yako and your in hell already mxeeeeeuuuuuuii!

Kweli we wanakufikizolo.
 
Mtoa uzi umewahisha taarifa, maana kimsingi wewe ndoo unayempenda huyo mjane. Na umeshapanga kwenda kuibanjua ya sita na mke wa Marehemu. So usimsingizie yeye wewe katende halafu uje utupe feedback. Ikiwezekana muoane kabisa
 
Lakini kabla ya kupata huo ujasiri, naombeni mnishauri wadau, katika nyumba niliyopanga, kuna mama mmoja nakaa nae, ana watoto japo wote wako shule, mme wake alifariki 2008, so huyo mama ni single mum, nimekua nikiishi nae fair siku zote lakini uzalendo umemshinda mwenzangu.

Ana kila dalili za kunitaka kimapenzi, sijui ni kutokana na upweke alio nao siku nyingi kuishi bila mwanamme, najua nae pia ni binadamu, mungu akuweka mapenzi sio tu kwa ajil ya kuzaana lakini pia kwa ajili ya kuenjoy na kupeana raha.

So ni huruma kwake kuishi bila kuwa na faraja kwake. Nimejitahidi kuepuka kuwa nae karibu kwa vile nimekua na ideology kuwa ye ni mtu mzima kwangu, lakini ni wapi kunazungumzia umri kuwa ni kikwazo cha kimapenzi, eti nitamkosea heshima, nani kasema kufanya mapenzi ni kitendo kichafu, go to hell this ideology, this weekend am going to ---- u madame

Naona sasa umepata ujasiri wa kula mali ya mjane!
 
Kumbe unatupa news kuwa una game this weekend??? You better go to hell first
 
Kila mwenye game weekend hii akija kufungua thread kutoa taarifa patakuwa hapatoshi humu jamvini.
 
Back
Top Bottom